Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,110
- 2,736
Ni aibu kubwa kwa serikali kutoa tamko kupitia MSAJILI WA MAGAZETI kwamba Rais Kikwete hakusafiri kwenda nchi za kiarabu.
Jumamosi tarehe 19/11/2016, Rais Kikwete pamoja na wasaidizi wake kadhaa walipanda ndege ya Emirates kuelekea Dubai. Baadhi ya waliosafiri siku hiyo ni Waziri Mwijage pamoja na Katibu Mkuu Dr. Meru ambao sijui safari yao ilikuwa ikielekea wapi. Binafsi nilikuwa naenda Dubai kikazi na tukawa pamoja na Rais. Iweje msajili wa Gazeti ajitokeze hadharani kubisha?
Hii serikali haiko making kabisa, had kufikia hatua kubisha vito hovyo kama hivi. Kama wasaidizi wa Kikwete hawakuzuiliwa, basi hilo thibitisheni, lakini hakuna cha ubishi kwamba Rais Kikwete hakusafiri. Alisafiri. Serikali irudi kivingine