Serikali irekebishe masharti ya mikopo ya elimu ya juu.

BHANGUWIHA

New Member
Nov 30, 2012
4
0
Jamani hii nchi yetu sote.Mwalimu alituachia asali na maziwa,mbona watu wachache tu wanafaidi,tuwaeleweje.
Inakuwaje nchi tajiri watoto wa makabwera tuumie?Mbona vigogo waliopo kwenye hiyo bodi ya mikopo ya juu walisoma bure,inakuwaje wao wapata fursa ya kujali jinsi gani yya kuwatesa watoto wa makabwera wakati maisha tu yamesha watesa?

Eti jamani,nisaidieni kuwaambia hao wanaotukosesha amani.

Bhanguwiha.
 

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,198
2,000
Kijana, una hoja nzuri sana ila hili si jukwaa lake, soma mazingira ya forum kwanza kabla hujaanza kupost,(modes Im helping you over here)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom