Serikali ipunguze umri wa kustaafu na wastaafu walipwe haraka ili wakakuze sekta binafsi, itaondoa kuzika fedha kwenye mabenki

sisi ambao tulisoma madesa bila ujasilia mali na mitaji hatuna toka 2015 tupo tu tukilima mbolea hatuna tukikopa wanasema tuwe na dhamana lasivyo hatukopesheki je? tuna ruhusiwa kukomendi au tubaki na hasira zetu mioyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe koment tu ilimradi ujamtukana mtu hapo sawa. lakini na nyinyi mkifikisha mashamba matano nanyi mstaafu ili wajukuu waendeleleze
 
Kuanzia miaka 45 ndo watu wanaanza kuwa productive zaidi kazini kwa swala la uzoefu na elimu. ndo umri ambao wengi wanapata Masters na PhD. Yaani mtu ndo kapata PhD leo, kesho anastaafu, hilo ni sawa na upotevu wa rasilimali watu
wenye mafanikio mengi ni wenye digrii moja moja hawa wa PHD ni vielele hata hivyo huwa wengi wanashindwa maisha kwa PHD zao huwa haziwasaidia labda kuweka record to kuwa alisoma kiwango cha juu kabisa.
 
Kwa hiyo hatuhitaji kuwa na elimu ya juu zaidi ya degree moja? kwa hiyo phd holders na maprofessor ni useless au mimi ndo sijakuelewa...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom