serikali ipo likizo?

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
tuwe wakweli kwa mwelekeo wa nchi wa sasa ni sawa na kama hatuna serikali. ukiona watu kama rostam wanakuwa na nguvu hivi ujue taasisi za umma zimekufa. ndio maana ili kuficha udhaifu jk anadanganya kuna udini kwamba anaandamwa kwa sababu ya dini yake. ukiona migomo, maandamano, matatizo ya kupanda sana bei ya vitu, matatizo ya umeme na kukosa mtu wa ku provide leadership ujue tunaelekea kuwa a failed state. mashaka yangu ni kwamba tz leo hatuna statesman anayeweza kuzungumza tukamsikiliza. wakati wa mzee
 
Siamini sana kama serikali ipo likizo ila nadhani upo woga fulani katika kushughurikia mambo yanayovuma sana hivi sasa labda sisi kama watanzania inatubidi tujiulize woga huo unaletwa nanini? Nadhani jibu kila mtu analo kuwa uswahiba ukizidi huwezi kutumia mamlaka na vilevile usipokuwa msafi huwezi kushughurikia dhambi si unakumbuka siku moja bwana Yesu aliwambia watu waliotaka kumpiga mwanamke mzinzi kuwa asiye na dhambi na awe wa kwanza kumpiga mawe mwanamke huyu na watu wote wakatokomea?? mimi sijui kama mtu ulipata mgao wa kifisadi huwezi kuthubutu kunyanyua mdomo kuhoji lolote.
 
Aafadhali hata na likizo. Kwa sababu kama ni likizo ikimalizika watu wanarudi kuchapa kazi. Hii serikali haipo kabisa. Hata kiwiliwili chake hakionekani.
 
Back
Top Bottom