Serikali ipo katika mchakato kuhakikisha mahabusu wanafanya kazi magerezani kama wafungwa

Haha Tanzania inashangaza sana. Hivi nchi hii ni machizi kuanzia kufuli, mahakama, bunge, hadi mtu wa chini kabisa? Awamu hii imegeuza watu kua mazezeta. Huu upuuzi gani? Bila aibu wanakuja na excuse kua hawana nia mbaya! Motherf****r. I’m done nabeba uraia kwingine
 
Aisee kumbe Simbachawene ana mambo ya kipumbavu pia? Nilidhana sasa wizara imepata mtu timamu lakini inaonekana ujinga ni uleule.

Mahabusu hana hatia hadi pale mahakama itakapo mtia hatiani na kuhukumiwa kifungo, hajachagua kukaa gerezani, kama serikali inaona kuna gharama kubwa kumtunza basi imwachie huru aendelee kuhudhuria kesi yake akitokea nyumbani.

Kumlazimisha mtu asiye na hatia kufanya kazi ni kukiuka haki zake za msingi za kikatiba na ni sawa na tu na utumwa.

View attachment 1463600
Hi Wizara Ina nuksi full mikosi.Wanasema Mrema tu ndo aliipatia
 
Aisee kumbe Simbachawene ana mambo ya kipumbavu pia? Nilidhana sasa wizara imepata mtu timamu lakini inaonekana ujinga ni uleule.

Mahabusu hana hatia hadi pale mahakama itakapo mtia hatiani na kuhukumiwa kifungo, hajachagua kukaa gerezani, kama serikali inaona kuna gharama kubwa kumtunza basi imwachie huru aendelee kuhudhuria kesi yake akitokea nyumbani.

Kumlazimisha mtu asiye na hatia kufanya kazi ni kukiuka haki zake za msingi za kikatiba na ni sawa na tu na utumwa.

View attachment 1463600

Sidhani kama Simbachawene alisema hivyo ila kama kweli watapitisha sheria ya hivyo basi watakuwa wamesaidia sana timu ya pili kufunga goli
 
Uzuri wa magereza huwa haichagui aiseeh. Yeye acha apitishe sheria kandamizi akihisi anatukomoa sisi. Siku moja anaweza kujikuta yeye ndio yuko ndani na hizo sheria zinamuathiri yeye moja kwa moja.
 
Aisee kumbe Simbachawene ana mambo ya kipumbavu pia? Nilidhana sasa wizara imepata mtu timamu lakini inaonekana ujinga ni uleule.

Mahabusu hana hatia hadi pale mahakama itakapo mtia hatiani na kuhukumiwa kifungo, hajachagua kukaa gerezani, kama serikali inaona kuna gharama kubwa kumtunza basi imwachie huru aendelee kuhudhuria kesi yake akitokea nyumbani.

Kumlazimisha mtu asiye na hatia kufanya kazi ni kukiuka haki zake za msingi za kikatiba na ni sawa na tu na utumwa.

View attachment 1463600
Usimlaumu mbwa mlaumu mwenye mbwa. Hawa akina Simbachawene ni watu wanaopewa maagizo tu, sasa unategemea atafanya nini yeye.

Na kibaya zaidi anayewaagiza anaamini yeye hawezi kupelekwa huko asilani.
 
Aisee kumbe Simbachawene ana mambo ya kipumbavu pia? Nilidhana sasa wizara imepata mtu timamu lakini inaonekana ujinga ni uleule.

Mahabusu hana hatia hadi pale mahakama itakapo mtia hatiani na kuhukumiwa kifungo, hajachagua kukaa gerezani, kama serikali inaona kuna gharama kubwa kumtunza basi imwachie huru aendelee kuhudhuria kesi yake akitokea nyumbani.

Kumlazimisha mtu asiye na hatia kufanya kazi ni kukiuka haki zake za msingi za kikatiba na ni sawa na tu na utumwa.

View attachment 1463600
Yaani umeweka mpaka kifungu husika cha katiba lakini wewe mwenyewe hujakielewa! Soma vizuri mkuu!
 
Aisee kumbe Simbachawene ana mambo ya kipumbavu pia? Nilidhana sasa wizara imepata mtu timamu lakini inaonekana ujinga ni uleule.

Mahabusu hana hatia hadi pale mahakama itakapo mtia hatiani na kuhukumiwa kifungo, hajachagua kukaa gerezani, kama serikali inaona kuna gharama kubwa kumtunza basi imwachie huru aendelee kuhudhuria kesi yake akitokea nyumbani.

Kumlazimisha mtu asiye na hatia kufanya kazi ni kukiuka haki zake za msingi za kikatiba na ni sawa na tu na utumwa.

View attachment 1463600
Ukiwa ccm unapoteza uwezo wa kufikiri sawa sawa.
 
Back
Top Bottom