t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,359
- 14,745
Kupunguza Bei ya receipt ni matokeo , chanzo ni mfumo mbaya wa kokokotoa mahesabu, Efd machines haziangaliii gharama zinasimamia mauzo tu , ndo sababu watu wa mbao walikuwa wa kwanza kulalamikia Efd , mbao hadi unaiona buguruni ina gharama kibao amabao Efd haizitambuiHapana , formula ni standard, sema bongo suala la kuweka kumbukumbu za mauzo na za kuweka kumbukumbu za matumizi ndio inayoleta shida na mvutano.
Hivyo kuleteleza wafanya biashara kuto kuweka mauzo mengine kwa near ya kukwepa kodi, kupunguza faida, jingine ni kuongeza matumizi ambayo hayakuwepo ili kupunguza faida.
Leo hii nenda kwa wauza mbao karibu wote utanunua mbao za 1m , wasikupe receipt au receipt wakupe ya 600,000.00
Hata maduka mengine ya vifaa vya ujenzi