Serikali ipige marufuku vigodoro na vigoma vinahamasisha ushoga na kinyume na maumbile

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,990
17,877
Hakuna vitu vinatia kinyaa kama haya mambo ya kiswahili swahili haya mavigodoro sijui vigoma vya ajabu ajabu wanawake wanajidhalilisha kwa kujibinua na kusasambua na kuvua nguo

Hakuna faida yoyote zaidi ya ushamba, laana tu

Kwanza vigodoro vinakua vimejaa mashoga ambao huambatana na wanawake

Maudhui yake ni kufundisha mapenzi ya kinyume na maumbile serikali ipige marufuku hii michezo maana inaashiria laana tu
Ndo maana siwezi kukaa uswahilini wala kuishi huko kamwe
 
sasa ulivionaje? watu wanaweza kuona wewe ndio unavipigia promo? uswahilini kunakaa watu wastaharabu na hivyo vitu wanaovifanya wengine ni hao waliokuzunguka unawaona wa kisure!
 
Mi nashngaa sana wanawake kucheza makalio kama kimbumga jobo juu yanavuma kwani wakicheza kistaarabu mziiki au ngoma hainogi?
 
Sisi wengine hatujawahi kuona. Hebu kama vipi mtusimulie jinsi hiyo show ya vigodoro inavyokuwa mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom