SERIKALI inunue MAGARI VX V8 BRAND NEW kutoka Japan, kwa $80,000 & below

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,830
16,678
Hivi ni kwanini Serikali isinunue Magari haya wanayopenda direct from
Japan brand new kwa bei ya max of up to $80,000 tu plus $3000 transportation, na bado wakinunua mengi Kiwanda cha Toyota watapata almost 20% off, na bandari Serikali haitalipa import tax, so cost remain unchanged, ukilinganisha
na hapa TZ Toyota wanawauzia kwa $280,000, what the hell is this? Hii ni nini? Nasema for max of $ 80,000 is a brand new, kila kitu in, sijui ni tatizo gani hii serikali yetu, Visit Toyota motors in japan, then u will see the current costs za hizi gari, hii mbaya sana, nashauri Serikali to buy direct from Japan, wacheni huu udalali( Middle men) hapo TZ Toyota motors, najua mnajua hata tukiwaambia msinunue mnaendelea kununua, basi fuateni ushauri huu kutuonea huruma kodi zetu, ila tutawapigia kelele hadi bei hizi muache, $280,000 what...??
 
Hizo $200,000 kwa kila gari ni pamoja na kamisheni na mshiko wa wakubwa waliowezesha hilo dili.
 
Ndivyo serikali ya TZ inavyoendeshwa kwani hamjui?
Mkituona na sisi tunaishi kama watu walioneemeka si ni kwa sababu hiyo? Tenda kwenye nchi hii ni chanzo kizuri cha mapato na rushwa iliyoneemeka:)
 
u r right, Tenda = deal = Rushwa iliyojificha, jamani
 
Hizo $200,000 kwa kila gari ni pamoja na kamisheni na mshiko wa wakubwa waliowezesha hilo dili.

Aiseeeeeee, Tz Tz nakupenda kwa moyo wote, nchi yangu Tz, jina lako ni tamu sana.......sitaweza kusahau ww, mambo mema ya kwetu kabisa.....................
hivi hata hao viongozi wanakumbuka huu wimbo, roho inaniuma sana, Tz pole
 
Tatizo la serikali wanapenda kutumia middle men ili wakatiane 10% au zaidi. Mtandao wa ufisadi ni mpana sana serikalini. Kama alivyosema muanzisha mada na mimi nimetembelea web-site kama 4 bei ya magari hayo ayazidi $ 80,000. Wabunge wetu mpo?????
 
u r right, Tenda = deal = Rushwa iliyojificha, jamani
Na hapo serikali including Mr Pinda watajifanya hawajui yanakoagizwa magari wala ubora wake na kwa sababu hiyo wataagiza through agent na watalipa commision ambayo at the end itawarudia in form of 10%. Nani anajali? kwani unadhani hatujui yanakonunuliwa? We acha tu. Deal bwana Mr President!
 
10% is the order of the tenders in LDCs, you turn a blind eye on it, your business is dwarfed!
 
He who receives money in trust to administer for the benefit of its owner, and uses it either for his own interest or against the wishes of its rightful owner, is a thief.
 
Mkuu mbona ndivyo wanavyoyanunua kwa bei hiyo? Hiyo nyongeza ni kula cha juu tu kama mafisadi wafanyavyo. bei ndo 80K utashangaa mnaambiwa 280k,!
 
Hivi ni kwanini Serikali isinunue Magari haya wanayopenda direct from
Japan brand new kwa bei ya max of up to $80,000 tu plus $3000 transportation, na bado wakinunua mengi Kiwanda cha Toyota watapata almost 20% off, na bandari Serikali haitalipa import tax, so cost remain unchanged, ukilinganisha
na hapa TZ Toyota wanawauzia kwa $280,000, what the hell is this? Hii ni nini? Nasema for max of $ 80,000 is a brand new, kila kitu in, sijui ni tatizo gani hii serikali yetu, Visit Toyota motors in japan, then u will see the current costs za hizi gari, hii mbaya sana, nashauri Serikali to buy direct from Japan, wacheni huu udalali( Middle men) hapo TZ Toyota motors, najua mnajua hata tukiwaambia msinunue mnaendelea kununua, basi fuateni ushauri huu kutuonea huruma kodi zetu, ila tutawapigia kelele hadi bei hizi muache, $280,000 what...??

Kwa nini yawe ni magari ya $80,000 na zaidi? Je wakinunua magari ya $23,000 watakosa kuwa waheshimiwa? Mawazo mafupi ya viongozi ndioyo yanayorudisha nchi nyuma. Kagame alipiga marufuku magari ya aina hiyo, je sis Tanzania tunawazidi nini Rwanda kwa leo ambapo wahehsimiwa wake wanatumia magari ya kawaida tu.
 
Watanzania tunaibiwa kama watoto. Kwani magari ni lazima yawe VX? The best quality ni america quality ya hayo Magari ya Japan. Mimi wanipe $65,000 nitawaletea Lexus SUV kutoka Marekani.
 
It is true Sir. Can u xplain pls?

Wanakusanya Kodi zetu.. tukidhani kuwa watatuletea maendeleo... (elimu, afya miundombinu, ajira) lakini wanafuja mali zetu kwa kujineemesha wenyewe. Bora mwizi anayemwibia tajiri lakini hata sisi masikini Jamani.

Nakumbuka kuna one wiseman alishawai kusema hata kama unamyonya mtu basi anagalau mpe chakula cha kutosha ile uendelee kumyonya.. Akatoa mfano wa Ng'ombe.... Ukiendelea kumkamua maziwa bila kumpa majani na maji, mwishowake ataanza kutoa damu na si maziwa tena
 
Aiseeeeeee, Tz Tz nakupenda kwa moyo wote, nchi yangu Tz, jina lako ni tamu sana.......sitaweza kusahau ww, mambo mema ya kwetu kabisa.....................
hivi hata hao viongozi wanakumbuka huu wimbo, roho inaniuma sana, Tz pole
kuimba pekeyake hakutatuondolea rushwa
 
Kwa nini yawe ni magari ya $80,000 na zaidi? Je wakinunua magari ya $23,000 watakosa kuwa waheshimiwa? Mawazo mafupi ya viongozi ndioyo yanayorudisha nchi nyuma. Kagame alipiga marufuku magari ya aina hiyo, je sis Tanzania tunawazidi nini Rwanda kwa leo ambapo wahehsimiwa wake wanatumia magari ya kawaida tu.

Nimesema hayo VX V8 kwani hata tukikeshe kupiga kelele, wanazidi kununua, basi akheri wanunue for true cost kutoka Japan, kwa bei nafuu, na jipya, maana hawata acha, so wanunue kwa bei hii angalau wasituumize hivi bwana, is so painful
 
Na hapo serikali including Mr Pinda watajifanya hawajui yanakoagizwa magari wala ubora wake na kwa sababu hiyo wataagiza through agent na watalipa commision ambayo at the end itawarudia in form of 10%. Nani anajali? kwani unadhani hatujui yanakonunuliwa? We acha tu. Deal bwana Mr President!

madudu mengi we acha tu, my eyes once they blink i see wrong only, ila high emotinal intelligence EI it guides me, whatever IQ u will possess
utakasirika tu, thanks to my EI
 
sasa mbona cha juu kinazidi 10%. $200,000 above 80,000$ ni 10% kweli? Afadhali basi wangeweka cha juu 10% then wangenunua kwa $ 88,000 ingekuwa poa kidogo. Tungevumiliana
 
Back
Top Bottom