Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,045
- 10,329
hujasema tunajitoaje kwenye kisiki cha umasikini wa fikra? ili tuwe kama wazungu au wengine walioendeleaHata tuje na program ya kuwalipa maskini mshahara km TASAF bado umaskini utaendelea kuwepo...shida yetu waafrica ni umaskini wa kifikra...ukimpa mtu samaki atamla kesho atataka umpe tena,wala ht kuuliza namna ya kumvua huyo samaki na ukiendekeza kumpa msaada itafika wakati ataona ni msaada ni haki yake na atalalamika asipopewa...na zaidi tufaham kua tumeingia kwenye uchumi wa kibepari ambapo serikali hai control uchumi wa matajiri wala maskini "kila mtu apambane na hali yake"...2Pac aliwahi kuimba and i quote "They got money for war but not for the poors" akimaanisha ht USA kuna maskini na serikali haijawapa kipaumbele maskini km wanavyovipa vita vipaumbele...Tukibadilika ki fikra ht umaskini nao utapungua