Serikali inayotamba kuwa ya "masikini" yamaliza miaka miwili madarakani bila mkakati wa kuondoa umasikini

Hata tuje na program ya kuwalipa maskini mshahara km TASAF bado umaskini utaendelea kuwepo...shida yetu waafrica ni umaskini wa kifikra...ukimpa mtu samaki atamla kesho atataka umpe tena,wala ht kuuliza namna ya kumvua huyo samaki na ukiendekeza kumpa msaada itafika wakati ataona ni msaada ni haki yake na atalalamika asipopewa...na zaidi tufaham kua tumeingia kwenye uchumi wa kibepari ambapo serikali hai control uchumi wa matajiri wala maskini "kila mtu apambane na hali yake"...2Pac aliwahi kuimba and i quote "They got money for war but not for the poors" akimaanisha ht USA kuna maskini na serikali haijawapa kipaumbele maskini km wanavyovipa vita vipaumbele...Tukibadilika ki fikra ht umaskini nao utapungua
hujasema tunajitoaje kwenye kisiki cha umasikini wa fikra? ili tuwe kama wazungu au wengine walioendelea
 
Hakuna mpango wowote wenye tija kuondoa umaskini zaidi ya porijo,Tasaf ni upuuzi tu ko ukigawa 15000 ndo kuondoa umaskini huko? badala ya kuwezesha mitaji na ujuzi kwa wajasiliamali wadogo na kuwa na tax exemption kwa biashara zisizozidi mil.6 ili kuboost demand serikali uko bze na mipango na kodi za ajabu ajabu
Serikali imeshindwa kustablize biashara na uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa hiyo matokeo yake ni serikali kuendelea kukosa mapato na makusanyo ya kodi yatazidi kushuka sana.
 
Wewe hata ukiandika maneno marefu kama gazeti la mzalendo
Ulishatumbuliwa tu
Mbona mlivokua mkila kilaini hamkulia lia?
JF mliiona kama katuni netwrk
Leo ndio mmeiona JF kama DSTV
Utakufa na umasikini wako kwa kufurahia matajiri kufilisiwa, hata hivyo ng'ombe akikonda hawezi kuwa sawa na sungura
 
Back
Top Bottom