Serikali inaweweseka kwa ujumbe wa Kikosi cha watu 2,858 cha ukombozi.

ule waraka unamhusu mtu mmoja...na ameambiwa nini cha kufanya...atekeleze maagizo yale...
bado anajishauri akimbilie wapi....visiwa vya malta au wapi...ni uamuzi mgumu kdgo kuacha kitumbua wakati ni kitamu........
 
sasa wewe unafanya nini hapa? kama ishu ni kuwa recorded hata hao walioupata siwalikuja hapahapa? ndiyo maana umeambiwa wanatafuta source ya waraka .

unakumbuka zeutamu? wale waisrael waliopewa kazi ya kutafuta ile server iliyokuwa inahost zeutamu kwani walihangaika na wale waliokuwa wanafungua na kuitumia ile website? acha kutisha watu

Mimi hapa nipo kama mwanachama wa jf nawatahadharisha tu uhaini ni kosa so muwe waangalifu mnachopost..

jf inatofauti kubwa na ze utamu.

ze utamu alikuwa Blogger .. and he was responsible na chapisho lolote analoandika...

jf ni forum soma angalizo la kina invisible hapa chini kina invisible wameweka wazi kwamba wao hawatakuwa responsible na post toyote likitokea la kutokea ip zipo recorded

1. Site members and visitors shall remain solely responsible for the content of your messages, and you agree to indemnify and hold harmless this forum and their agents, including but not limited to its owners, operators, administrators and moderators with respect to any claim based upon any post you may submit. JAMIIFORUMS reserves the right to reveal any information we have about you in the event of a complaint and legal action arising from any message that you may post. Please also note that all IP addresses are recorded when items are posted.

‪2.‬JAMIIFORUMS shall not be liable for any statement, misstatement, inaccuracy or omission of any type for any content submitted by a site member or visitor on any forum. JAMIIFORUMS bears no responsibility for accuracy of comments of any participants and will bear no legal liability for discussion results.

‪3.‬If you participate in any forum on the site, you warrant that you will not:
Defame, abuse, harass or threaten others
Make any bigoted, hateful, or racially offensive statements
Advocate illegal activity or discuss illegal activities with the intent to commit them
Post or distribute any material that infringes and/or violates any right of a third party or any law
Post or distribute any unethical, pornographic, vulgar, obscene, discourteous, or indecent language or images

‪4.‬You are responsible for ensuring that any material you post on JAMIIFORUMS (text, images, or other multimedia content) does not violate or infringe upon the copyright, patent, trademark or any other personal or proprietary rights of any third party, and is posted with the permission of the owner of such rights.

‪5.‬The contents of messages will not be changed or altered by the JAMIIFORUMS in any way. However, JAMIIFORUMS reserves the right to delete any messages it believes are unsuitable in content. If you find any posts objectionable or offensive, please contact the forum administrator.

‪6.‬JAMIIFORUMS does monitor the messages on the forum on regular basis but if something seems not well evaluated please contact us. Those who wish to contact the JAMIIFORUMS should use this email:
 
------------------------------=====
---------------------------------
what is IP bwana acheni utoto watu wakiamua kufanya kweli wanaweza tena kwa Teknolojia ya TZ kama hii...bwerereeeeeeeeeeeee....wanajifanzia mambo yao kisha wanasepa......fikiria hii kuna watu wanatoa huduma za net sawa...mtu anaweza kwenda leo akafungua e-mail. feki kwenye internet cafee...then akapost hizo waraka zake na ujumbe ukawa umefika then akisha maliza jamaa anafungasha virago vyake anarudi home....sasa kwa mtaji huo nambieni nani atashatakiwa...mfanyabiashara wa internet cafee..ama mteja aliyekuja akapost ujumbe wake afu akasepa...unless mnambie kama huyo mteja mmemfungia GPRS am GPS katika mwili wake ili mjue anakoishi....hahahahahahahahahahaha..kalagabao
 
dunia ya sasa kijiji mkuu ... hata kama ulikuwa internet cafe .... serikali ikiamua kukutafuta itakupata tu ...

unanikusha jamaa aliye delete document kupoteza ushahidi na aka empty recycle bin ... watu waka recover zile delited documents...

No one is safe unapotumia internet ...
 
kule hawezi kwenda ...labda akimbilie comoro

unachosema kuhusu umakini kinaweza kuwa na ukwel, muhimu pia kujua sababu zilizotolewa zina shikika japo si njia rasmi yakuwaadibisha watawala wanaokosea. Kudhubutu huko na sa sababu walizotoa ndio chakufuatiliwa zaidi kuliko koments za watu. Nadhan koments zatakiwa kuwasaidia kuona watz wachache wenye access hii wanavyofeel na kuweka mipango yamuda mfupi na mrefu yakutatua tatizo. Tuache kuwa double standrd tunapozungumzia mstakabali wa taifa.
 
mi nakwambia utasikia mweyewe. subiri uone tu. unajua wakijifanya wan-take easy ndio mwanya wa jamaa kufanya kweli, na kwa kuwa wako kwenye system ya hata ulinzi wa nkulu, basi huenda mambo yakawa sawa.....tusbiri tuone....

Tatizo hicho kikundi ni kikubwa sana na inawezekana kiko kila eneo nyeti! Huwezikipangia mkakati wowote maana ina wezekana unaopanga nao wakawa ndio wenyewe wahusika wa mpango wenyewe. Nchi hatuaminiani tena hii
 
Kamati ya ulinzi na usalama ya kitaifa ilishaujadili waraka chini ya mabrigedia wa zone sita na kuona hauna ukweli wowote lakini kama ilivyo ada habari inabaki kuwa habari na hivyo haiwezi kupuiziwa hata kidogo.
Kikosi cha watu maalumu kinafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha wahusika wakuu wanatiwa mbaroni.

una uhakika kuwa hao maBrigedia waliokaa nao siyo wao wapanga mkakati?
Nafikiri wangeanza kwanza kuwachunguza wao, hii nchi watu wana uchungu nayo inavyoliwa kienyeji. Jua jeshi wamekula kiapo kulinda Taifa na siyo watawala wezi.
 
Yeyote anayeshabikia vita ni chizi anapaswa akapimwe akili.

Hicho ni kikundi cha wahuni wachache ambao serikali itawatia mikononi. Itakuwa fundisho kwa wengine.
 
Hivi nchi yako ikiliwa kila kitu na ikafikia mahala nchi inashindwa hata kujiendesha yenyewe, solution yake ni ipi? (Nauliza tu)
 
huo waraka mbona mimi sijakutana nao natamani sana niuone na nijue unasemaje, simu zangui zote nne sijapata msg wala kwenye mtandao au unalenga wanachama maalum?
 
Rushwa na ubadhilifu wa mali ya umma unaofanywa na watu wachache mara nyingi ndo kigezo kinachotumiwa na wanajeshi nchi nyingi za africa wanapofanya uasi au mapinduzi
 
huo waraka mbona mimi sijakutana nao natamani sana niuone na nijue unasemaje, simu zangu zote nne sijapata msg wala kwenye mtandao au unalenga wanachama maalum?
 
Serikali itumie nguvu sisi wananchi tulizo wapa kwa mujibu wa katiba kuwashughulikia ipasavyo hawa wahaini. Hakuna excuse kwa kuwacha kila mpuuzi afanye atakalo.

We kwelı mjınga!
Nakufananısha na kenge ambaye ılı askılızıe maumıvu ya kıpga nı mpaka atoke damu masıkıonı.
Unaegemea upande wa Serkalı ya CCM huyaonı haya madudu yanayoendelea?
Unataka tufanye nn sasa zaıdı ya kuwang'oa?
Nanı mhaını katı ya CCM na Wanajeshı hawa watııfu ambao wamechoshwa na madudu ya Serkalı?
Kubwajınga lenu lımefunıka mangapı tangu lııngıe madarakanı?
Ufısadı ulıopndukıa unaendelea kulıangamıza Taıfa letu sasa unataka tuwang'oe CCM kwa staılı ya Kupıga Kura ılhal kıla uchaguzı wanachakachua mfumo mzıma?
Umeusoma waraka au umekurupuka tu kutapka uharo hapa!
Hıma Jeshı langu nawapa baraka zangu zote na nınawaombea kwa Mwenyezı Mungu jalal awajaaalıe majemedarı hawa na yeyote atakae leta jeurı Auawe!
Twende kazı!
 
Back
Top Bottom