Serikali inawatisha akina nani?

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Wakati NEC wanapiga marufuku kuongea maneno ya siasa kwenye mikutano ya kampeni za kisiasa nchini, tunaendele kujiuliza tu, hivi kwenye mikutano hiyo wanataka tukaongee maneno gani, au wanataka tukahubiri Injili kwenye mikutano ya kampeni za kisiasa?

Huku ndiko nchi yetu ilikofika sasa ndani ya kipindi cha miaka miwili tu ya huyu JPM.

Wakati huohuo TAMISEMI nao tayari wameshatangaza kuwa ni marufuku kwa Halmashauri yoyote hapa Tanzania kuendesha mambo yake kwa "UWAZI" mbele ya wananchi na wamesisitiza kuwa Halmashauri yoyote ile itakayofanya hivyo itafutiwa usajili wake.

Tundu Lissu alisema, "Dikteta Uchwara akimaliza kushughulika na sisi Wabunge, atazigeukia Mahakama zetu, baada ya hapo atarudi kwenu maana lengo lake ni kuwa mtawala kama ilivyo kwa Rwanda na Uganda kwa Madikteta wenzake badala ya kuwa kiongozi wa watu. Hakuna atakayepona na hakuna aliye salama".

NEC na TAMISEMI ni Idara nyingine mpya za CCM ya Magufuli zilizoanza kupokea maagizo kutoka juu baada ya kufanikiwa kuwateka Polisi, Bunge na Mahakama ili kuendelea kutimiza azma ya JPM ya kutaka kuminya uhuru wa watu kujieleza na kutoa maoni yao katika kuukosoa utendaji mbovu wa serikali hii ya Hapa Chato Tu.

Mwanahabari Huru
 
Hii habar ya Sumatra ni Ya kweli?
Screenshot_20171114-115849.png
 
Screenshot_20171114-114627.png
 
Kinachonisikitisha zaidi ni majeshi yetu ya ulinzi na usalama kumuunga mkono.Hivi hiki ndio mababu zetu walikipigania?ili tuje kunyanyaswa na mtu mmoja aitwae rais? Mimi ni mlaumu sana Mh rais wa awamu ya tano.Ni bora hata angeacha upinzani uchukue nchi ili maisha yaende.Kwa sasa nambo hayaendi kabisa.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom