Serikali inawagopa watuhumiwa wa Rada

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Waziri wa Mambo ya nje, mh Membe amewaomba wanaotuhumiwa kuhusika na kashfa ya rada kujitokeza hadharani na kujisafisha kwa wananchi.

My take: Yawezekana Tanzania ikawa nchi pekee duniani isiyoweza kuchukua hatua stahiki kwa wezi wa mali ya umma hata kama wanafahamika na ushahidi uko wazi.

Source: Magazeti ya leo.
 
Wanamuomba KAKAJAMBAZI ajisafishe kwa sababu wao hawana ubavu wa kumuadabisha, dah kweli mwendawazimu kaingia nyumba ya shetani!? hii ni ONLY IN TANZANIA,hadi huyu jamaa atoke pale magogoni tutakuwa tumeuza Vol. nyingi sana za DVD za MK.WERE et al comedy!
 
Back
Top Bottom