Mpwechekule
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 221
- 55
Ni kigezo gani kinatumika kumlipa mbunge ambae kimsingi sifa yake ya kwanza ni kujua kusoma na kuandika, lakini mshahara na stahiki nyingine ni m 11 kwa mwezi, na wakati huo huo wanalipa mishahara ya waalimu madakitari na wataalam wengine mshahara wa laki 2 hadi m 2 au 3 kwa mwezi, ukizingatia kuwa hakuna mwalimu dakitari mwandisi ambae anaitwa hivyo bila kuwa na taaluma, je? hii nchi ni ya wanainchi au ya kundi dogo la wahuni wanaojiita wanasiasa? Ni kwali serikali inawajali wanainchi au wapo kwa ajili ya wanainchi? Ukizingatia kuwa mshahara kima cha chini ni 170000 wanajamvi nchi yetu hii tushikamane