Serikali inatoa viwanja kwa mabalozi wa nchi za nje kuhamia Dodoma.

Mafwi Munda

JF-Expert Member
Nov 30, 2017
1,750
1,599
Serikali inatoa maeneo kwa balozi za nje nchini kujenga ofisi na makazi Dodoma.
Swali langu ofisi zao na makazi yao yaliok Dar es salaam yatauzwa au serikali itayachukua au ni nyumba za NHC?!
Natamani ubalozi wa marekani wapewe IFM wapanue campus yao.
 
Back
Top Bottom