kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,302
Asante kwa kunielewesha mkuu.Ni hivi naamini kama una taarifa juu ya mfumo wa kiutumishi wa Lawson, kila mtumishi taarifa zake zimo kwenye hiyo system!
So, taarifa zako za kitumishi zimeunganishwa na taarifa za Kitambulisho cha taifa na taarifa za Passport!
Hivyo basi Afisa uhamiaji akiingiza namba yako ya passport tuu anapata taarifa zako zote za kiutumishi na kitambulisho cha taifa, so atajua kama wewe ni mtumishi wa wapi, unatoka mkoa na mtaa gani na n.k!