Serikali inasubiri nini kuyatoa/kubinafsisha baadhi ya mashirika?!!

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,526
2,961
Hello JF


Serikali inayo utaratibu mzuri wa kukagua na siyo kudhibiti mahesabu katika taasisi zake,Why Kukagua???

Nimejaribu kuangalia kwa kiasi kikubwa mashirika mengi ya kiserikali yanaendelea kupata hati chafu na kulipa hasara taifa,huku report kila na kila mwaka zinaizishika baadhi ya mashirika Mfano Air Tanzania ,shirika la Nyumba na Bima za Afya,Mifuko ya wastaafu N.k.

Kipindi cha Magufuli pekee niliyoona baadhi ya mabadiliko baadhi ya sehemu kama vile Airtel,Ttcl na Tume ya Madini kidogo ilifanyika Mabadiliko lakini ni miaka sasa baadhi Taasisi ndiyo haziguswi kabisaa!!!.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom