FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,009
- 40,680
Atajuliwa wapi huyu, hajui nchi hii kuna ‘Tax chain system’ ya ajabu kabisa. Anafikiri hiyo TV pale bandarini imeingia bila kulipiwa kodi?Hauko sahihi kwa sabbu kabla kitu hakijatoka kiwandani au bandarini tayari imeshalipiwa kodi, direct tax,,