Awali ya yote nimshukuru Mungu kwa kutupa neema kufika siku ya leo. Pia niishukuru JamiiForums kurudi hewani japo nimeona kwa siku imekuwa haipo hewani tumekosa fursa kubwa na imeturudisha sana nyuma kiuchumi hasa kwa wale wanatumia mtandao huu kama sehemu ya biashara.
Baada ya hayo mimi nilikuwa na ombi moja kubwa kwa Serikali juu ya mtandao huu. Kiukweli hakuna nchi yeyote haina hub of information ambayo hutumika kwa shughuli nyingi nyeti za kitaifa.
JamiiForums kiukweli inaitajika serikali kuwekeza kwa sababu maalum zakiufanisi ktk utendaji kaz na usalama wa taifa. Unajuwa facebook na whatsap n sehemu Serikali za wenzetu wanaweka pesa zao kwa sababu maalum na kiukweli wamefanikiwa. Facebook imeteka dunia na dunia ipo facebook why?
Hapo ndipo unajuwa faida ya hizi wabsite.
Unapoona watu wa serikal za wenzetu wanafanya vitu fulan ktk mitandao ya kijamii tuna kitu cha kujifunza na kufanyia kazi.