britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Tanzania tumeanza lini kuhoji dini katika teuzi anazofanya rais? tumeanza lini kuhoji udini katika mamlaka mbali mbali, tumeanza lini kuhoji udini katika kupata huduma? mi nahisi kwakuwa hakuna udini ndipo anausema,
kwa nasfi yangu na Mungu ananiona kama mtanzania wa kawaida sikuwahi kuwa na mashaka na utendaji wa kazi wa mtu fulani kisa dini yake, dini haiathiri utendaji hata kidogo, sasa kama haiathiri ndomaana katika teuzi kigezo udini hakipo na hakiruhusiwi kufikiriwa kabisa,
Sasa kuna mtu ameibuka juzi juzi tu hana mbele wala nyuma kuanza kuongelea suala la udini katika teuzi, katika fursa, katika elimu, sasa nasikia kahamia kwamba waislamu wanaminywa na serikali kuu kwenye TRA na vyombo vya dola , this is nonsense kabisa, na watu wazima wanashangilia eti kasema oo kasema yeye nani?? naona ifike pahala tukate mambo haya inatosha. ni mudawa serikali kuchukua hatua, Mwalimu Nyerere au Mzee mwinyi, wasingefumbia macho mambo haya, naona ticket tuliyokata ni ya basi linaloenda pabaya, huyu sheik atiwe nidham kwanza mbona wanamuachia sana