Serikali inalea bomu linaloitwa Sheikh Khalifa Khamis, ipo muda litalipuka tu

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Tanzania tumeanza lini kuhoji dini katika teuzi anazofanya rais? tumeanza lini kuhoji udini katika mamlaka mbali mbali, tumeanza lini kuhoji udini katika kupata huduma? mi nahisi kwakuwa hakuna udini ndipo anausema,
kwa nasfi yangu na Mungu ananiona kama mtanzania wa kawaida sikuwahi kuwa na mashaka na utendaji wa kazi wa mtu fulani kisa dini yake, dini haiathiri utendaji hata kidogo, sasa kama haiathiri ndomaana katika teuzi kigezo udini hakipo na hakiruhusiwi kufikiriwa kabisa,

Sasa kuna mtu ameibuka juzi juzi tu hana mbele wala nyuma kuanza kuongelea suala la udini katika teuzi, katika fursa, katika elimu, sasa nasikia kahamia kwamba waislamu wanaminywa na serikali kuu kwenye TRA na vyombo vya dola , this is nonsense kabisa, na watu wazima wanashangilia eti kasema oo kasema yeye nani?? naona ifike pahala tukate mambo haya inatosha. ni mudawa serikali kuchukua hatua, Mwalimu Nyerere au Mzee mwinyi, wasingefumbia macho mambo haya, naona ticket tuliyokata ni ya basi linaloenda pabaya, huyu sheik atiwe nidham kwanza mbona wanamuachia sana
 
acheni fyongo, NSSF ilivokuwa na arround 30% muslims mlilalamika mpaka ikawa kero, leo hii rais anachagua 90% christians mnajifanya hamuoni! Tuna wajibu wa kusema ya moyoni pia sio tufe na tai shingoni

JPM aache udini ktk chaguzi zake
Mkuu Tafiti yako ni NSSF pekee? Basi kama umepata hapo basi Tambua Taasisi zingine zilijaa Dini ya upande wa pili 90% so NSSF ni kama 1% ya Taasisi za Serikali zilizopita na Sasa walichokuwa nacho Waislam sasa hivi wananyang'anywa ndio lalamiko kuu....
 
Upinzani ungeachwa kuongea watu wangezoea kidogo ila kuzuiliwa kwao na Bunge pia kuzuiliwa ili yanayofanyika yaonekane ni serikali inafanya peke yake ni Bomu zaidi ya Nuclear maana kama makosa basi wataonekana wamefanya peke yao hivyo upinzni utaonekana ni utakatifu na hali ilivyo kama Laana vile watendaji wanachemsha balaa sijui ni makusudi au uoga... Nimecheka sana yule Mtu wa Fedha kaongea ukweli kaondolewa nafasi yake... Jamaa kiuwezo anamzidi bosi wake so inatimiza ule msemo akili ndogo kuongoza akili kubwa lazima yaharibike tu hii ni laana si kitu kingine.. Hakuna rangi tutakayoacha kuiona... hata Huyu Shehe atapuuzwa tu na navyomjua jamaa atamkera zaidi... hao anaowaona kidogo kidogo pengine wakawa ndio wa mwisho
 
Tanzania tumeanza lini kuhoji dini katika teuzi anazofanya rais? tumeanza lini kuhoji udini katika mamlaka mbali mbali, tumeanza lini kuhoji udini katika kupata huduma? mi nahisi kwakuwa hakuna udini ndipo anausema,
kwa nasfi yangu na Mungu ananiona kamamtanzania wa kawaida sikuwahi kuwa na mashaka na utendaji wa kazi wa mtu fulani kisa dini yake, dini haiathiri utendaji hata kidogo, sasa kama haiathiri ndomaana katika teuzi kigezo udini hakipo na hakiruhusiwi kufikiriwa kabisa,

Sasa kuna mtu ameibuka juzi juzi tu hana mbele wala nyuma kuanza kuongelea suala la udini katika teuzi, katika fursa, katika elimu, sasa nasikia kahamia kwamba waislamu wanaminywa na serikali kuu kwenye TRA na vyombo vya dola , this is nonsense kabisa, na watu wazima wanashangilia eti kasema oo kasema yeye nani?? naona ifike pahala tukate mambo haya inatosha. ni mudawa serikali kuchukua hatua, Mwalimu Nyerere au Mzee mwinyi, wasingefumbia macho mambo haya, naona ticket tuliyokata ni ya basi linaloenda pabaya, huyu sheik atiwe nidham kwanza mbona wanamuachia sana
Link Sheikh Khalifa Khamis alalamika Waislam kuminywa na Serikali Kuu, TRA na Vyombo vya Dola

Link2. Rais Magufuli awapandisha vyeo Maafisa Wakuu wawili wa JWTZ kuwa Meja Jenerali

Link3. News Alert: - Rais Magufuli apangua safu ya makatibu wakuu, Mafuru atemwa Hazina, Ole Sendeka RC Njombe

Link4. Kanisa Katoliki launganisha sikukuu ya Uhuru Tanganyika
 
Hata rais na makamu walivyokua muslim still walidai wanaonewa.... ingekuwa ni kinyume chake cjui ingekuweje
 
Tanzania tumeanza lini kuhoji dini katika teuzi anazofanya rais? tumeanza lini kuhoji udini katika mamlaka mbali mbali, tumeanza lini kuhoji udini katika kupata huduma? mi nahisi kwakuwa hakuna udini ndipo anausema,
kwa nasfi yangu na Mungu ananiona kamamtanzania wa kawaida sikuwahi kuwa na mashaka na utendaji wa kazi wa mtu fulani kisa dini yake, dini haiathiri utendaji hata kidogo, sasa kama haiathiri ndomaana katika teuzi kigezo udini hakipo na hakiruhusiwi kufikiriwa kabisa,

Sasa kuna mtu ameibuka juzi juzi tu hana mbele wala nyuma kuanza kuongelea suala la udini katika teuzi, katika fursa, katika elimu, sasa nasikia kahamia kwamba waislamu wanaminywa na serikali kuu kwenye TRA na vyombo vya dola , this is nonsense kabisa, na watu wazima wanashangilia eti kasema oo kasema yeye nani?? naona ifike pahala tukate mambo haya inatosha. ni mudawa serikali kuchukua hatua, Mwalimu Nyerere au Mzee mwinyi, wasingefumbia macho mambo haya, naona ticket tuliyokata ni ya basi linaloenda pabaya, huyu sheik atiwe nidham kwanza mbona wanamuachia sana
Wangeanza na mange kimambi.
 
Umesahau mlimwita Kikwete "mdini" ?

Tanzania "udini" upo na tusiufiche ukweli.
 
Dini ni man's worst creation, hasa hii ya wapenda fujo. Hata statistics zina favor wakristo wengi kuajiriwa sababu kwanza ndio majority nchini, pili wakristo wengi wanagraduate top institutions nchini, zunguka uhesabu, sisemi kua waislamu hawapo wenye akili, wapo wengi tu sema wanajihusisha na kazi nyingine, wachache ambao wanajihusisha na hizi kazi zinazogombaniwa na wakristo ni wale wa level ya chini ndio maana wanatupiliwa pembeni, kazi moja wanaomba watu 5000 hapo waislamu ukute 300, unategemea anayepanga achukue 50% wakristo na waislamu huku hata application yenyewe tu wapo 6%.

No one gives a fck about your religion, watu tunaajiri kwa kuangalia uwezo wa mtu, kama uko ovyo hata uwe wa dini iliyotoka Andromeda utatemwa tu. Najua kureason na mtu wa dini ni ngumu sana maana wengi ni brainwashed na wanaamini wanachoamini in massive groups, we wakati unasingizia dini ngoja wenzako wakomae kupata experience wanazidi kuwapiga gepu. Always excuses huku waislamu wengine wamekaa wanatengeneza mamilioni wanacheka tu na hata wao wameajiri 90% wakristo.
Kiongozi umepita humo humo
 
mtoa mada unajaribu kutuaminisha kwamba....mwanadamu anaweza kukikimbia kivuli chake juani.....
 
Ukweli unauma muacheni shehe wa watu aseme ya moyoni kuwakilisha watu wake. Wenye nchi wakiona kunahaja ya kumdhibiti tutasikia tu.
 
Back
Top Bottom