Serikali inalea bomu linaloitwa Sheikh Khalifa Khamis, ipo muda litalipuka tu

Ukweli unauma muacheni shehe wa watu aseme ya moyoni kuwakilisha watu wake. Wenye nchi wakiona kunahaja ya kumdhibiti tutasikia tu.

Huyu Sheikh kavimbiwa Amani.Anafikiri Serikali ni kitu cha mchezomchezo.Watu wanahangaika kujenga nchi yeye anahangaikia kuibomoa.
 
acheni fyongo, NSSF ilivokuwa na arround 30% muslims mlilalamika mpaka ikawa kero, leo hii rais anachagua 90% christians mnajifanya hamuoni! Tuna wajibu wa kusema ya moyoni pia sio tufe na tai shingoni

JPM aache udini ktk chaguzi zake

Hata akichagua Waislamu kwa 100% wewe binafsi na familia yako utafaidika nini?
 
Anaelalamika udini peleka CV yako kwa rais uombe nafasi ya kuteuliwa kama unadhan uko sahihi kwa akili yako hiyo!!!
 
Wanapenda sana kelele,mmesahau ni hawa hawa wanaojiita ma she*****kh walitaka kumsomea mkwere albadili wakati ule.Sasa tizama mkwere alikua ni muislam lakini bado walikua wanalalamika.
Sijui kwanini huu upande wa wenzetu roho mbaya kiasi hiki!
Tanzania ni moja ni vema tukapendana.Tusichukiane kwasababu ya imani zakidini hii nchi tutaiharibu kisha tukose pakukimbilia.
 
Umesahau mlimwita Kikwete "mdini" ?

Tanzania "udini" upo na tusiufiche ukweli.

Khalifa anaonesha ukweli ulivyo bila kuficha.
Waislamu wa Tanzania ni tofauti sana na wa nchi nyingine, maana huwezi jua nani msomi nani mbumbumbu, nami kipofu nani anaona.
Serikali inawajengea Makao Makuu pia imewaombea msaada wa kujengewa Msikiti mkubwa haya wangefanyiwa wakristo pangechimbika.
 
acheni fyongo, NSSF ilivokuwa na arround 30% muslims mlilalamika mpaka ikawa kero, leo hii rais anachagua 90% christians mnajifanya hamuoni! Tuna wajibu wa kusema ya moyoni pia sio tufe na tai shingoni

JPM aache udini ktk chaguzi zake
Kweli kabisa ila maneno matupu hayatoshi.
Tulinukisheni kwenda ikulu
 
Dini ni man's worst creation, hasa hii ya wapenda fujo. Hata statistics zina favor wakristo wengi kuajiriwa sababu kwanza ndio majority nchini, pili wakristo wengi wanagraduate top institutions nchini, zunguka uhesabu, sisemi kua waislamu hawapo wenye akili, wapo wengi tu sema wanajihusisha na kazi nyingine, wachache ambao wanajihusisha na hizi kazi zinazogombaniwa na wakristo ni wale wa level ya chini ndio maana wanatupiliwa pembeni, kazi moja wanaomba watu 5000 hapo waislamu ukute 300, unategemea anayepanga achukue 50% wakristo na waislamu huku hata application yenyewe tu wapo 6%.

No one gives a fck about your religion, watu tunaajiri kwa kuangalia uwezo wa mtu, kama uko ovyo hata uwe wa dini iliyotoka Andromeda utatemwa tu. Najua kureason na mtu wa dini ni ngumu sana maana wengi ni brainwashed na wanaamini wanachoamini in massive groups, we wakati unasingizia dini ngoja wenzako wakomae kupata experience wanazidi kuwapiga gepu. Always excuses huku waislamu wengine wamekaa wanatengeneza mamilioni wanacheka tu na hata wao wameajiri 90% wakristo.
Kazi wanaomba wakristo 5000 waislam 300? Kumbe urc, udc, ukatibu huwa wanaomba au? Jpm aache udini, unaposema wakristo ni wengi Zaid ya waislam unatumia statistics zipi? Mbona mulikataa kaweka kipengele cha dini Katika sensa? Ili muendelee kupika takwimu eheeeee?
 
Tanzania tumeanza lini kuhoji dini katika teuzi anazofanya rais? tumeanza lini kuhoji udini katika mamlaka mbali mbali, tumeanza lini kuhoji udini katika kupata huduma? mi nahisi kwakuwa hakuna udini ndipo anausema,
kwa nasfi yangu na Mungu ananiona kamamtanzania wa kawaida sikuwahi kuwa na mashaka na utendaji wa kazi wa mtu fulani kisa dini yake, dini haiathiri utendaji hata kidogo, sasa kama haiathiri ndomaana katika teuzi kigezo udini hakipo na hakiruhusiwi kufikiriwa kabisa,

Sasa kuna mtu ameibuka juzi juzi tu hana mbele wala nyuma kuanza kuongelea suala la udini katika teuzi, katika fursa, katika elimu, sasa nasikia kahamia kwamba waislamu wanaminywa na serikali kuu kwenye TRA na vyombo vya dola , this is nonsense kabisa, na watu wazima wanashangilia eti kasema oo kasema yeye nani?? naona ifike pahala tukate mambo haya inatosha. ni mudawa serikali kuchukua hatua, Mwalimu Nyerere au Mzee mwinyi, wasingefumbia macho mambo haya, naona ticket tuliyokata ni ya basi linaloenda pabaya, huyu sheik atiwe nidham kwanza mbona wanamuachia sana
Kwa kuwa mnafurahishwa na teuzi hizo ndio maana mnaona sawa Tu,Shekh Yupo sahihi ukweli lazima usemwe,teuzi hata za Jana sijasikia muislam hapo.
 
Wanaosema Tanzania ina udini siku zote hua ni waislamu, you guys inabidi mjifanyie analysis mjielewe, you spend your precious time kufikiria wenzako wa upande wa pili, wakati wao wanafikiria pesa, you'll always lack behind with your stupid excuses.

Ni wakristo ndio mliosema NSSF kuna UDINI.
Na teuzi za jana mmmmh.
Zimeongea
 
udini awamu hii ulo uko wazi wazi, ni punguani tu ndo asiyeweza kuuona! jamaa ni mdini ns mkabila
 
Waislamu wa Tanzania ni tofauti sana na wa nchi nyingine, maana huwezi jua nani msomi nani mbumbumbu, nami kipofu nani anaona.
Serikali inawajengea Makao Makuu pia imewaombea msaada wa kujengewa Msikiti mkubwa haya wangefanyiwa wakristo pangechimbika.
Tangu upate akili ni lini waislam wamewahi kulalamika uhaba wa misikiti? Au shida ya ofisi? Miaka yote waislam wanataka usawa Katika taifa Lao, ukristo kisiwe kigezo cha kupima utendaji wa mtu, jmp stop udini
 
Tanzania tumeanza lini kuhoji dini katika teuzi anazofanya rais? tumeanza lini kuhoji udini katika mamlaka mbali mbali, tumeanza lini kuhoji udini katika kupata huduma? mi nahisi kwakuwa hakuna udini ndipo anausema,
kwa nasfi yangu na Mungu ananiona kamamtanzania wa kawaida sikuwahi kuwa na mashaka na utendaji wa kazi wa mtu fulani kisa dini yake, dini haiathiri utendaji hata kidogo, sasa kama haiathiri ndomaana katika teuzi kigezo udini hakipo na hakiruhusiwi kufikiriwa kabisa,

Sasa kuna mtu ameibuka juzi juzi tu hana mbele wala nyuma kuanza kuongelea suala la udini katika teuzi, katika fursa, katika elimu, sasa nasikia kahamia kwamba waislamu wanaminywa na serikali kuu kwenye TRA na vyombo vya dola , this is nonsense kabisa, na watu wazima wanashangilia eti kasema oo kasema yeye nani?? naona ifike pahala tukate mambo haya inatosha. ni mudawa serikali kuchukua hatua, Mwalimu Nyerere au Mzee mwinyi, wasingefumbia macho mambo haya, naona ticket tuliyokata ni ya basi linaloenda pabaya, huyu sheik atiwe nidham kwanza mbona wanamuachia sana
Hata cjamaliza pumba zako kizisoma serekali inatakiwa kukanusha kwa vigezo kama shekh khalifa anasema uongo au kweli au hata ww unaweza kuisaidia serekali kama ni uongo au kweli
 
Back
Top Bottom