Serikali inalea bomu linaloitwa Sheikh Khalifa Khamis, ipo muda litalipuka tu

acheni fyongo, NSSF ilivokuwa na arround 30% muslims mlilalamika mpaka ikawa kero, leo hii rais anachagua 90% christians mnajifanya hamuoni! Tuna wajibu wa kusema ya moyoni pia sio tufe na tai shingoni

JPM aache udini ktk chaguzi zake
Kama nchi ni makosa kuchaguana kwa vigezo vya kidini.
Utendaji kazi, Elimu na nidhamu lazma vitangulizwe kwanza.
Yani leo uniwekee Prof Makame Mbawala hapa na Mwijage, nimchague mmoja awe wazir wangu Wa Afya/Elimu.
Na Mimi Kama Rais nimchague Mwijage kisa tu ni mkristu mwenzangu.
Au
Hapa Lukuvi na kule Makamba Jr kuwa wazir wa ardhi, Nimchague Makamba kisa ni mwenzangu katika imani.
Nitakuwa nawakosea sana watanzania wenzangu.
 
Tanzania tumeanza lini kuhoji dini katika teuzi anazofanya rais? tumeanza lini kuhoji udini katika mamlaka mbali mbali, tumeanza lini kuhoji udini katika kupata huduma? mi nahisi kwakuwa hakuna udini ndipo anausema,
kwa nasfi yangu na Mungu ananiona kama mtanzania wa kawaida sikuwahi kuwa na mashaka na utendaji wa kazi wa mtu fulani kisa dini yake, dini haiathiri utendaji hata kidogo, sasa kama haiathiri ndomaana katika teuzi kigezo udini hakipo na hakiruhusiwi kufikiriwa kabisa,

Sasa kuna mtu ameibuka juzi juzi tu hana mbele wala nyuma kuanza kuongelea suala la udini katika teuzi, katika fursa, katika elimu, sasa nasikia kahamia kwamba waislamu wanaminywa na serikali kuu kwenye TRA na vyombo vya dola , this is nonsense kabisa, na watu wazima wanashangilia eti kasema oo kasema yeye nani?? naona ifike pahala tukate mambo haya inatosha. ni mudawa serikali kuchukua hatua, Mwalimu Nyerere au Mzee mwinyi, wasingefumbia macho mambo haya, naona ticket tuliyokata ni ya basi linaloenda pabaya, huyu sheik atiwe nidham kwanza mbona wanamuachia sana
Hayo mashehe ushuzi hayajaanza leo enzi za Jk yalitaka kuigawa nchi ila kwa huyu yataimba Haleluyaa
 
acheni fyongo, NSSF ilivokuwa na arround 30% muslims mlilalamika mpaka ikawa kero, leo hii rais anachagua 90% christians mnajifanya hamuoni! Tuna wajibu wa kusema ya moyoni pia sio tufe na tai shingoni

JPM aache udini ktk chaguzi zake
Tatizo wengi wenu mna phd za Albadili sasa hicho kitengo serikalini hakipo inabidi mfungue madrasa na mfanye mihadhala na kurekodi kanda za kubishana ipi ni dini ya kweli
 
Upinzani ungeachwa kuongea watu wangezoea kidogo ila kuzuiliwa kwao na Bunge pia kuzuiliwa ili yanayofanyika yaonekane ni serikali inafanya peke yake ni Bomu zaidi ya Nuclear maana kama makosa basi wataonekana wamefanya peke yao hivyo upinzni utaonekana ni utakatifu na hali ilivyo kama Laana vile watendaji wanachemsha balaa sijui ni makusudi au uoga... Nimecheka sana yule Mtu wa Fedha kaongea ukweli kaondolewa nafasi yake... Jamaa kiuwezo anamzidi bosi wake so inatimiza ule msemo akili ndogo kuongoza akili kubwa lazima yaharibike tu hii ni laana si kitu kingine.. Hakuna rangi tutakayoacha kuiona... hata Huyu Shehe atapuuzwa tu na navyomjua jamaa atamkera zaidi... hao anaowaona kidogo kidogo pengine wakawa ndio wa mwisho
Kumbeee
 
Kulikoni mkuu
Sasa hivi upande mwingine ndio unahoji... Mambo yamebadilika ila Udini hautatufikisha mbali especially kwenye swala la uwekezaji tuangalie vigezo tuachane na Udini nchi inahitaji pesa
 
Sasa hivi upande mwingine ndio unahoji... Mambo yamebadilika ila Udini hautatufikisha mbali especially kwenye swala la uwekezaji tuangalie vigezo tuachane na Udini nchi inahitaji pesa
Siasa za hovyo.
 
Back
Top Bottom