Mungu jalia, pasa za PSSSF zitachotwa. Wastaafu hampati penshemi mwezi huu! Naogopa hilo kutokea! Huko haitaji bunge ni kuchota tu!Bado mikoa mingine..
Ni Kweli Serikali inayo reserve ya kufanikisha hili?
Jana nimemsikia mkuu wa Majeshi Mabeyo akisema Jeshi ndio litazoa Na kuzinunua , sidhani kama huo uwezo upo!
Kama upo basi serikali hii haina mpango kazi!
View attachment 929527
Overhead Cost sijaziweka bado , aseeKumbuka iyo ni ya kununulia tu, bado ya kusombea, kulipa posho wanajeshi. Kutunzia, kulinda. Etc. Alafu zinaweza nunuliwa tani 200,000 zikafika dar tani 100,000. Watz tunawajua kwa wizi. Yan huu mradi kunawatu watajenga magorofa we subiri muone.
Bora ziliwe tu Ikulu. Kuzisafirisha India ni hasara. Bora wazile kama sisi tunavyotumia "mbaazi" kwa mboga. Wangekuwa hawapo karibu na ferry, tungewaomba waje wanunue na mbaazi zetu ili wakale na wao, au watuletee samaki sisi tuwape mbaazi.Si amesema zipo wasiwasi uko WAP......àu akinunua anaenda kuzila Ikulu si zinaenda sokoni?
kuna ile 1.5tr yetu iliyopigwa....nahisi kuna salio pale.Bado mikoa mingine..
Ni Kweli Serikali inayo reserve ya kufanikisha hili?
Jana nimemsikia mkuu wa Majeshi Mabeyo akisema Jeshi ndio litazoa Na kuzinunua , sidhani kama huo uwezo upo!
Kama upo basi serikali hii haina mpango kazi!
View attachment 929527
Hivi Serikali hua ina fanya biashara!!!:::::::::?Si amesema zipo wasiwasi uko WAP......àu akinunua anaenda kuzila Ikulu si zinaenda sokoni?
Si mnunue J3 ya nini?Subiri jumatatu ifike uone Nini maana ya SERIKALI na nguvu iliyo nayo