Serikali inahalalisha ushoga na ukahaba kimya kimya?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,627
10,239
Ushoga na ukahaba ni tabia ambazo zipo miongoni mwetu.Lakini kwa ujumla jamii inapinga matendo haya!Kuna mwito toka dunia ya kimagharibi kuwa serikali za Afrika zihalalishe mambo haya.

Serikali yetu imekataa kata kata! Lakini ukweli ni kwamba serikali ineruhusu haki za mashoga na ushoga kukondoishwa"mainstreaming" katika maisha ya kila siku ya watanzania.Kuna miradi ya afya na ustawi wa jamii inairatibiwa na serikali inatekeleza program za haki za mashoga!

Inaumiza sana kuona serikali inafanya unafiki katika hili!Mashirika mengi ya Kinarekani wabafadhili mpango huu kwa kushirikiana na serikali na NGOs.Mashirika haya ni kama PSI, Jipeog,Water Reed, Aiha,chama cha maafisa ustawi wa jamii na taasisi ya ustawi wa jamii,kwa uchache tu! Huu ni ukweli mchungu, siku tukishtuka takuta kila nyumbaina shoga! Na hii yote ni njaa!

HILI NI JIPU KUU LAKIJAMII, WATZ AMKENI TUACHE UNAFIKI.FEDHA ZONAZOFADHILI USHOGA ZIPO TACAIDS, NA SI TUNAJUA TACAIDS IPO CHINI YA NANI.
 
Hakuna hata chembe ya uongo hapo...naweza kukusndikia kitabi
 
Umeandika kwa jazba sijui, maana sio kwa kuchapia huko, :-D

Anyway, sijui una uhakika na ukisemacho au umewaza tu mwenyewe,
Sasa sijui unataka tuamke vipi,
Maana ushasema serikali imekataa wazi wazi mambo ya ushoga,
Sasa hizo NGO's zinafadhili mpango huo kushirikiana na serikali, HOW??

Je mashoga wa Tz wana taasisi yao?
Kuna kampeni yoyote inaendeshwa hapa TZ ya kuwatetea??

After all ushoga ni tabia ya mtu binafsi, sasa kama kila nyumba kutakua na shoga wakulaumiwa ni serikali au wazazi au jamii kwa ujumla??
Tafakari!!

Tusiwe rahisi kuihukumu serikali wakati swala la malezi ni jukumu letu sisi wenyewe.
 
Ndugu yangu ukiona kitu kipo ndani ya biblia au msahafu, ujue kilikuwepo tangu enzi za mitume,na walikikuta na zama zao zikaisha wakakiacha,hili suala la ushoga unachotakiwa kufanya ni kuomba kama bado ujazaa, usije bahatika mmoja katika kizazi chako.
 
Icho ulicho andika umekijua juu juu kuhusu hiyo miradi kwa hiyo umekurupuka, mradi uliopo kwa Sasa unashughulikia Key population na key population yenyewe na mashoga, malaya na watu wengine waliopo kwenye high risk ya kupata hiv, Google muongozo wa key population wa wizara ya afya soma alafu ndo urudi upya

Key populations (also referred to as most-at-risk populations) are people who inject drugs, gay men and other men who have sex with men (MSM), transgender persons and sex workers. They are disproportionately infected with HIV compared to the generalpopulation.F
 
Kama ntakuwa nimemuelewa mtoa uzi, kuna mambo mawili
1.Serikali yetu imepiga marufuku ushoga
2.Fedha za kusaidia mashoga kufanya ngono salama zinaingia nchini.
Sasa tunaomba serikali itoe tamka inasimama wapi ?
 
Ushoga ni kukinzana na kanuni za asili hivo kufanya icho kitu ni kupingana na asili na matokeo ni madhara tu kama hukumu
 
Umeandika kwa jazba sijui, maana sio kwa kuchapia huko, :-D

Anyway, sijui una uhakika na ukisemacho au umewaza tu mwenyewe,
Sasa sijui unataka tuamke vipi,
Maana ushasema serikali imekataa wazi wazi mambo ya ushoga,
Sasa hizo NGO's zinafadhili mpango huo kushirikiana na serikali, HOW??

Je mashoga wa Tz wana taasisi yao?
Kuna kampeni yoyote inaendeshwa hapa TZ ya kuwatetea??

After all ushoga ni tabia ya mtu binafsi, sasa kama kila nyumba kutakua na shoga wakulaumiwa ni serikali au wazazi au jamii kwa ujumla??
Tafakari!!

Tusiwe rahisi kuihukumu serikali wakati swala la malezi ni jukumu letu sisi wenyewe.
Nimependa jinsi ulivyomjibu thumb up
 
Ndugu yangu ukiona kitu kipo ndani ya biblia au msahafu, ujue kilikuwepo tangu enzi za mitume,na walikikuta na zama zao zikaisha wakakiacha,hili suala la ushoga unachotakiwa kufanya ni kuomba kama bado ujazaa, usije bahatika mmoja katika kizazi chako.

Umenena vyema mkuu
 
Mimi watu wanaotetea ushoga nawaona washenzi tu ndio wanatukaribisha zaidi kwenye kiama
 
Ushoga na ukahaba ni tabia ambazo zipo miongoni mwetu.Lakini kwa ujumla jamii inapinga matendo haya!Kuna mwito toka dunia ya kimagharibi kuwa serikali za Afrika zihalalishe mambo haya.

Serikali yetu imekataa kata kata! Lakini ukweli ni kwamba serikali ineruhusu haki za mashoga na ushoga kukondoishwa"mainstreaming" katika maisha ya kila siku ya watanzania.Kuna miradi ya afya na ustawi wa jamii inairatibiwa na serikali inatekeleza program za haki za mashoga!

Inaumiza sana kuona serikali inafanya unafiki katika hili!Mashirika mengi ya Kinarekani wabafadhili mpango huu kwa kushirikiana na serikali na NGOs.Mashirika haya ni kama PSI, Jipeog,Water Reed, Aiha,chama cha maafisa ustawi wa jamii na taasisi ya ustawi wa jamii,kwa uchache tu! Huu ni ukweli mchungu, siku tukishtuka takuta kila nyumbaina shoga! Na hii yote ni njaa!

HILI NI JIPU KUU LAKIJAMII, WATZ AMKENI TUACHE UNAFIKI.FEDHA ZONAZOFADHILI USHOGA ZIPO TACAIDS, NA SI TUNAJUA TACAIDS IPO CHINI YA NANI.
Tatizo wanawake mnaringa sana siku hii hadi mashoga wamechukua nafasi yenu
 
Tuna culture ya kuuma na kupulizia,
 
Ndugu yangu ukiona kitu kipo ndani ya biblia au msahafu, ujue kilikuwepo tangu enzi za mitume,na walikikuta na zama zao zikaisha wakakiacha,hili suala la ushoga unachotakiwa kufanya ni kuomba kama bado ujazaa, usije bahatika mmoja katika kizazi chako.
Enzi za Kristu kulikuwa na ukahaba tu lakini no ushoga.
 
Uzi wako ungeliza swali " serikali yetu inakataa ushoga mbona miradi mingi ya afya hasa ya ukimwi inayatambua"nahisi ungeweza pata jibu
 
Back
Top Bottom