Serikali inafaidikaje na "mradi" wa UKIMWI?

Unajuaje kama ni "miwaya" na sio magonjwa mengine kama TB?

Wewe ulikuwa daktari wao?

Umeshawahi kuona mgonjwa wa TB?
Wako ambao waliamini ni kifua kiuu, homa kali, wamerogwa walijaribu kila njia bila ya mafanikio.

Mimi sikuwa daktari wao lakini niliona mateso waliyopitia na jinsi walivyounganishwa kwenye gridi ya taifa.

Nasisitiza ni rahisi sana kusahau hatari ya ugonjwa wa ukimwi kwa kipindi cha hivi sasa lakini huo ugonjwa ulisambaratisha familia nyingi sana
 
pata alafu ndo utajua sayansi haidanganyi
Sayansi inadanganya sana na imewadanganya wengi kwa muda mrefu hata kugharimu maisha ya watu.

VVU ni sayansi ya kilaghai kwa manufaa ya wachache (pseudoscience).

Vipi, na wewe ni daktari?

Umewahi kukiona kirusi cha Ukimwi?

Hehehehe
 
Sayansi inadanganya sana na imewadanganya wengi kwa muda mrefu hata kugharimu maisha ya watu.

VVU ni sayansi ya kilaghai kwa manufaa ya wachache (pseudoscience).

Vipi, na wewe ni daktari?

Umewahi kukiona kirusi cha Ukimwi?

Hehehehe
haya mkuu bhasi kama unaishi kwenye ulimwengu wa kuamini hakuna kirus wa ukimwi ila kuna kirus cha corona safari njema. Kama unaamini hakuna ukimwi bhasi njoo uwekewe damu ya mgonjwa ambae katest positive.
 
Kuna vijana wengi sana wameajiriwa kwenye vikundi na NG'Os za mradi bandia wa UKIMWI.

Naamini kuna mapesa mengi sana huko ya wafadhili nk.

Na sirikali kumbe inamwagiwa mipesa na mabeberu?

How much? Aisee lazima itakuwa pesa ndefu sanaa!

How can you kill your people without something in
Mkuu angalia hapo, nadhani wamejibu kiasi ya unachohitaji
 
haya mkuu bhasi kama unaishi kwenye ulimwengu wa kuamini hakuna kirus wa ukimwi ila kuna kirus cha corona safari njema. Kama unaamini hakuna ukimwi bhasi njoo uwekewe damu ya mgonjwa ambae katest positive.
Umewahi kukiona Kirusi cha Ukimwi?
 
Hichi kitu kinachoitwa "Virusi vya Ukimwi" kina maajabu yenye kusisimua sana.

Kwanza, hakuna mtu yeyote aliyewahi kukiona Kirusi cha Ukimwi. Sio mwanasayansi wala maamuma...
Kama ingefika miaka Kumi ingekuaje hii michache watu hawaitaji kusumbuu kitu adimu ambacho muumba alimzawadia kwa upendo mkuu kiumbe chake hakika mtegemea Cha nduguye alikufa masikini
 






USAID has resolved not do business with the Kenya Medical Supplies Authority (KEMSA).

According to the agency, some donated ARVs supplies to Kenya through KEMSA have been found in South Sudan, Somalia and in private hospitals.

Audits on the ARVs supplies over the years shows that about 30 per cent of the drugs and diagnostics distributed by KEMSA are never fully accounted for, a USAID official told a local newspaper.

The decision by USAID was communicated to President Uhuru Kenyatta after his meeting with US Secretary of State Antony Blinken on April 27, after which Uhuru disbanded the KEMSA board two days later.
 
Back
Top Bottom