Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,198
Usilolijua ni kama usiku wa giza.Pengine sina haja ya kutoamini km hawa wasomi si wanampotosha rais makusudi basi hawajui watendalo.
WAANDISHI WETU WA VODA FASTA WATAANDIKA HAYA HATA KATIKA MAGAZETI YA KIINGEREZA WAKIDHANI WATAIDANGANYA DUNIA KAMA WANAVYOWEZA LAZIMISHA WATANZANIA.BAIL OUT YA SERIKALI SIO BAIL OUT YA MABENK.BAIL OUT YA SERIKALI NI KUPELEKA HELA MBALI ZAIDI NA UCHUMI WA MITAANI.
Niliweka thread hapa nyingi kwa awamu na hii nadhani ndio awamu ya mwisho kabla uchumi haujenda ICU. Haya yalikuwa tahadhani yangu zangu:=
1 . CCM walipoamua kuhujumu majiji ya chadema.Waliua uchumi wa nchi.HELA ZIKENDA FICHWA HAZINA.Halmashauri zikawa km fagio la pesa mitaani.Kwa hili CCM hamuwezi pata vyote.Ama muwaachie chadema wapate sifa na uchumi ukue au muue uchumi mbaki mkidanganya.
2. Niliaani serikali kufunga Account ktk MABENKI KWA SABABU ZA KITOTO ZA HILA DHIDI YA MABENK FULANI.MKAHARAMISHA FIXED DEPOSIT .Serikali iliyopaswa kuingiza hela ktk uchumi wakazitoa.
3. Nikalaani pia mkataba wa ATCL na TTB.
4.Nililaani pia issue ya kagera Sugar na kipindi kilichoandaliwa na sam mahela.
5.Nililaani upuuzi wa ada elekezi kwa shule binafsi.Hizo shule halilazimishi mtu kusoma, km hazina ubora watu wataziacha tuu ktk soko huria.Ila si haba kuona wasomi wa kijamaa wakikomalia kwa jinsi mipaka ya akili ya akili zao ilivyokaa. Dunia hatufanani na kutofanana kwetu si lazima kuwe laana.Kuna watu wana vipawa na mafanikio yao ni faida kwa wasioweza.Mengi kawapa chakula watu wangapi, kawapa elimu wangapi?Wangekuwa wengi km mengi jamii yetu ingepunguza ombaomba wangapi mitaani,ingepata hospitali ngapi?Shule bora zitaleta watu wenye vipawa vya kushindana duniani na kutuletea mafanikio kama akina Dangote.
Nililaani mengi sana, na matokeo tunayaona.Wakati nalaani haya kuna watu waliniona mimi ni adui mkubwa na pengine hata wakataani wanipate na kunishughulikia.Its time tuachane na tabia ya kuwaamini hawa wachumi na waandishi wababaishaji.Kila mchumi atoe sababu ambazo zitapelekwa ktk umma zijadiliwe kwanza kabla y akukimbilia fanya .
Serikali ili ilete hela mitaani lazima yenyewe ndio ikopeshe mabenk au waweke hela bank. Serikali ikikopa katika benk zenye uwezo mdogo,itaishia kuzifanya zishindwe kopesha wat wengine.Matokeo yake biashara inakuwa ileile ya kuzifukia hela hazina kama wazee wetu walivyokuwa wakichimbia ardhini.
Ubaya mwingine wa serikali kukopa mabenk ni kamba serikali huwa hailipi.Matokeo yake mabenk yatafungwa.
Serikali ilichukua zake ikaenda chimbia chini hazina.Sasa wanachukua na za mabenki.Kwangu mimi wangetoa sababu ingine,hata kama ni ngumu ila ingeonyesha kuwa watu wanajua wafanyalo.Watu wakijua wanachofanya na wakafanya kwa nia njema,hata wakishindwa tutawaelewa kwa vile kushindwa ni sehemu ya maisha na hali halisi ya ugumu wa suala husika.
Nani hakuona Marekani na Mataifa mengine yalipo BAIL OUT BANK,SASA HIVI SERIKALI INA KUWA BAILED OUT NA MABENK.Kwanini tunaenda ktk reverse gear?Au serikali itakopa imwage mitaani kupitia makada wa chama chao?Hii italeta inflation, au practice mbaya ambazo zitapoteza hela kama yapotevyo maji jangwani kwa hawa makada kuzikumbatia nakutofikia maendeo endelevu.Hapo serikali itakuwa haiwezi lipa deni na wananchi hawana cha kulipa kodi .Kwanza mabenk yanakopesha wateja wake,serikali si ilishafunga account zake?Watakopeshwa vipi wakati hawana account na bank statement ya kueleweka,wala collateral?Au ni ubabe tuu?Serikali isiyo na huruma kwa watu wake,serikali isyojua kwamba watu walioingia katika majanga wanatakiwa kusaidiwa ili warudi katika uzalishaji na kuondakana na kuwa mizigo.Ndio ile serikali isyojua kwanini mabepari wana mfuko wa manufaa kwa jamii.Katika maandiko Mungu anasema ukitoa ni kwa faida yako sio ya Mungu .Usipotoa ni kwa hasara yako.Hii serikali inayo shida kubwa sana.
KWANINI HUO MKOPO UPITIE KWA MTUTU WA KATIKATI SERIKALI NA USIKOPESHWE WANANCHI MOJA KWA MOJA KM WAO NDIO WALENGWA?
.Tujiandae kuambiwa tulinukuu vibaya.
Tuwasikilize na wadau wengine.