Serikali ina mpango wa kuhakiki (TIN) namba ya utambulisho wa walipa kodi?

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,939
Wadau wazima wote.

Nimeangalia taarifa ya habari na kuona habari kwamba Serikali ina mpango wa kuhakiki namba ya utambulisho wa walipa kodi ili kujiridhisha na mwenendo wa walipa kodi.

Kama ni kweli hapa serikali itakua imeanza vizuri sana ili kujua majizi yanayofanya ujanja katika biashara na kukwepa kodi hongera sana SJMT

Chanzo- ITV habari tarehe 5.10.16 saa mbili usiku
 
Back
Top Bottom