Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 844
Asalam aleikum. Binafsi nilisikitika sana baada ya kusikia kuwa Rais ametengua uteuzi wa mtu ambaye yeye ndiye aliemteuwa.Sio jambo baya kutengua uteuzi wake bali sababu aliyoitoa ya kutengua uteuzi huo haileti maana(it doesnt make sense). Nilitegemea maelezo zaidi ya eti "jina limekosewa". Hebu fikiria kama wewe ndo ungekuwa yule DC alie "TUMBULIWA" ungejisikiaje.? kiukweli amemuathirika kisaikolojia na anapaswa kulipwa kwa kitendo hicho cha rais "KUMTUMBUA"