Serikali imlipe DC aliyetenguliwa

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
643
844
Asalam aleikum. Binafsi nilisikitika sana baada ya kusikia kuwa Rais ametengua uteuzi wa mtu ambaye yeye ndiye aliemteuwa.Sio jambo baya kutengua uteuzi wake bali sababu aliyoitoa ya kutengua uteuzi huo haileti maana(it doesnt make sense). Nilitegemea maelezo zaidi ya eti "jina limekosewa". Hebu fikiria kama wewe ndo ungekuwa yule DC alie "TUMBULIWA" ungejisikiaje.? kiukweli amemuathirika kisaikolojia na anapaswa kulipwa kwa kitendo hicho cha rais "KUMTUMBUA"
 
Alipwe ili nini, sababu inajieleza mkuu,
HUMAN ERRORS ambazo sometimes haziepukiki ndicho chanzo cha kutumbuliwa kwa DC
 
hakuna kitu kama hicho. inamaana Rais akiandika Huwa hapitii tena kusoma alichokiandika. Errors zingine zinaepukika. Umeona jinsi magazet yalivyomkejeli huyo DC.? Inabidi alipwe ama Rais Amuombe radhi hadharani kama alivyo "MTUMBUA" hadharani
 
inatakiwa amuombe Radhi kwa kweli. Hicho kitendo hapana anastahili kuombwa radhi!
 
Asalam aleikum. Binafsi nilisikitika sana baada ya kusikia kuwa Rais ametengua uteuzi wa mtu ambaye yeye ndiye aliemteuwa.Sio jambo baya kutengua uteuzi wake bali sababu aliyoitoa ya kutengua uteuzi huo haileti maana(it doesnt make sense). Nilitegemea maelezo zaidi ya eti "jina limekosewa". Hebu fikiria kama wewe ndo ungekuwa yule DC alie "TUMBULIWA" ungejisikiaje.? kiukweli amemuathirika kisaikolojia na anapaswa kulipwa kwa kitendo hicho cha rais "KUMTUMBUA"

Kwa kweli It is only fair kwa serikali na taifa la watu waungwana na wastaarabu wamuombe radhi in public, wamemdhalilisha sana baba yule
 
46991987cd32d3cf07a4b9fb92720b7e.jpg

Nikimuangalia yeye..nikimuangalia huyo mwandishi wa nyuma yake..
Sijui kama atakuja kusahau..labda apewe kikubwa zaidi!
 
Style ya Kaganda kusema ATUPISHE kwa kweli ni udhakilishaji. Utadhani jamaa ni gate crusher!
 
hakuna kitu kama hicho. inamaana Rais akiandika Huwa hapitii tena kusoma alichokiandika. Errors zingine zinaepukika. Umeona jinsi magazet yalivyomkejeli huyo DC.? Inabidi alipwe ama Rais Amuombe radhi hadharani kama alivyo "MTUMBUA" hadharani

Hapo hakuna kukosea.Kukosea hilo jina lake angelitoa wapi?Kukosea kunakokubalika ni spellings pengine kumtamka mtu vibaya au kufanyiwa uhuni kwa kuwa walioteuliwa walikuwa wengi mfanyakazi wa ikulu akamkata aliechaguliwa na raisi na kumchomeka wake.Naamini ndicho kilichofanyika na haitakuwa mara ya kwanza kwani iliwahi kutokea kwenye ugawaji wa magari ya halimashauri za wilaya.Raisi alilizuia gari na kumrudisha mkurugenzi bila gari kwani hakuwa amekusudiwa yeye na raisi.Kwa kuwa yametendeka tayari serikali inatakiwa imrudishie gharama za kununua mavazi,nauli na hela kidogo ya kifuta machozi.Unaweza kuta jamaa alikesha na rafiki zake wakila na kunywa kusheherekea uteuzi.
 
Nadhani namna alivotolewa ndio imeleta shida zaidi. Angefutwa anong'onezwe na aombwe radhi kisha aombwe atoke mwenyewe taratibu bila kuwa na mtu nyuma kwa karibu ili ionekane kama kuna mahali tu anakwenda bila ya watu wengine kunotisi hilo. Kisha baada ya hapo ndio mengine yangefuta kama kumrudishia gharama zake.(Haya yote yangefanyika tu kimia kimia) ila umma ungetaarifiwa kuwa uteuzi wa ndugu X ulikuwa na kasoro na ulitenguliwa basi. Hivi ndivyo mambo yaivopaswa kufnyika. Ila kwa namna ulivofanyika dah inahuzunisha kwakweli na kisaikolojia inaathari kubwa sana kwake na familia yake. Mungu ni mwema hatuwezi jua kamuepusha na balaa gani kubwa zaidi so maisha yanaendelea.
 
Back
Top Bottom