johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,840
- 141,763
Serikali imetoa ubani wa sh 250,000 kwa kila familia iliyofiwa na mtoto kwenye ajali ya moto katika shule ya waislamu huko Kyerwa mkoani Kagera.
Kadhalika Serikali inawagharamia wanafunzi wengine sita wanaopatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando.
Maendeleo hayana vyama!
Kadhalika Serikali inawagharamia wanafunzi wengine sita wanaopatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando.
Maendeleo hayana vyama!