Serikali imetoa agizo leo la kusimamisha withdraw kwa wanachama wote wa hifadhi za jamii

pili mimi huwa ninajiuliza swali hili kwani wanangu watasoma nikiwa mzee ama watasoma nikiwa bado kijana? na je nitaish nyumba nzuri nikisha zeeka ama leo hi nikiwa kijana?

ikumbukwe akbisa wastaafu wengiambao walikuwa ni govt officials walipopewa hivi viinua mgongo vyao ndipo walipoanza eti kujenga na kunua magari matokeo yake wamefia nyumba za kupanga. mimi mtoa mchango nataka nipewe haki yangu niitakapo manake ndipo ninapoihitaji na ipo ili kunisaidia mimi. uzeeni ya nini sasa?

Maswali yako ni mazuri sana.

Hakuna mantiki yoyote katika kunilipa eti nikifikisha miaka 55 - 60.

Leo nina miaka 24 sina uhakika wa kuendelea kuajiriwa.

Nini maana ya mikakati inayoimbwa kila siku kuhusu ujasiriamali, wengi tulio katika sekta binafsi hatuna uhakika na maisha yetu sasa ikitokea nimeacha kazi kwa nini wasinipe chenji yangu nikafuge kuku????

TUNATAKA KUSOMESHA WATOTO Wetu, VINGINEVYO IWE NI sheria ISIYOTULAZIMISHA KUJIUNGA NA MIFUKO HII



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom