Serikali imeshindwa kuwapandisha vyeo walimu waliostahili kupanda kwa bajet 2013-14

Nyakua nyakitita

Senior Member
Apr 14, 2014
193
43
Kwa kawaida watumishi wa kada ya ualimu waliotegemea kupanda vyeo katika mwaka wa fedha unaoisha mwezi jun 2014,wameshindwa kupata haki hiyo.Haki hiyo imezurumiwa na serikali baada ya wizara ya fedha kusitisha zoezi hill lililokuwa kwenye mchakato sehemu mbalimbali kwa madai ya kutokuwa na pesa.taarifa hizi zimethibitishwa na wadau mbalimbali wahusika katika jiji la mbeya na mbeya vijijini
 
Back
Top Bottom