ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,605
- 2,729
Watanzania ni wakarimu kweli yaani vifaa vilivyoorodheshwa kwenye form ya mwanafunzi vina thamani ya sh, 800, 000/ alafu tunadanganywa eti elimu bure kwa kuondoa karo sh, 70, 000/ mnapiga makofi kwa ukarimu huu umasikini utawatoa roho yahani badala muondoe sh, 800, 000/ mnaondoa elfu sabini?
Niambie ni kipi kinamzuia mtoto kwenda shule ni elfu sabini au laki nane?
Aliyewaroga WATANGANYIKA yawezekana alikufa na hirizi yake.
Hili ndilo tatizo la wawakilishi wa chama kimoja.
Baada ya maelezo ayo nauliza bado hamjaona umuhimu wa Katiba mpya?
View attachment 2262052