Serikali imelipa zaidi ya 2.9 bilioni kama riba ya ucheleweshaji wa malipo kwa makandarasi, Prof: Assad anajifunza nini hapa?

stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
6,384
3,494
Wakati ujenzi wa kipande cha Dar – Morogoro ulitakiwa kukamilika katika kipindi cha miezi 30 baada ya kuzinduliwa, na muda huo umepita, haifahamiki sababu za kuchelewa kwake wala siku ya kuanza kutumika.

CAG Charles Kichere alibainisha katika ripoti yake ya miradi ya maendeleo ya mwaka 2019/20 kwamba Serikali imelipa zaidi ya Sh2.9 bilioni kama riba ya ucheleweshaji wa malipo kwa makandarasi na Sh26 bilioni kama ucheleweshaji wa mradi hadi kufikia Aprili 2020.

Alipotafutwa kuzungumzia maendeleo ya mradi huo na lini majaribio yatafanyika, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli (TRC), Masanja Kadogosa hakutaka kulifafanua suala hilo.

“Mbona tulishatoa taarifa kuhusu hilo, niko barabarani, nipigie kesho (leo) tuzungumze,” alijibu Kadogosa na hata alipotafutwa siku iliyofuata hakupokea simu yake wala kujibu ujumbe mfupi wa simu aliotumiwa.

Hata hivyo, Mwananchi lilimtafuta Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ambaye alisema alipoingia wizarani, aliambiwa majaribio ya reli ya kisasa yatafanyika Desemba inayoanza leo.

soma zaidi: Danadana majaribio treni ya SGR Dar - Moro
 
Sisiyemu wanatembea na kinyesi mgongoni ata wajifiche vipi harufu itasikika tu. Swala wanalofanikiwa wao ni kuhakikisha wanabaki madarakani waendelee kula keki za taifa.
ccm ni binadam kama wa chadema na vyama vingine, make sure unapoint yule mwovu badala ya kutumia ujumla
 
Changua upande bila ya kuleta posts za kijinga humu ndani.

You do know hiyo post yako inalenga kumchafua Magufuli jinga wewe.

japokua nae ni binadam ila he was smart, kuna mapungufu ya hapa na pale yanajadilika ila sio kwa huyu profesa wa chadema
 
japokua nae ni binadam ila he was smart, kuna mapungufu ya hapa na pale yanajadilika ila sio kwa huyu profesa wa chadema
Nimepitia ile thread yako nyingine sikutaka kuchangia tu.

Professor Assad is a qualified accountant (kuna tofauti hapo na mtu mwenye degree, tu)

Maana yake nini a qualified accountant sio ‘auditor’ tu bali ni mwelewa wa ‘management accounts’ you can’t do a business plan without that so they are partly economists.

Lazima uwe mwelewa wa finance accounts; it’s usefulness ni kwamba you can’t convince people to invest in a business or lenders and suppliers to trust the business without that information.

Lazima awe mwelewa wa maswala ya personal tax na corporate tax; that it is what it takes to be a qualified accountant. Either CPA, ACCA or any other recognised international qualifications.

Meaning you have to master Management accounting, Financial accounting, Personal Tax, Corporate Tax and Auditing.

Prof Assad has gone further he has an auditing PhD. Maana yake huyo mtu ni authority in his field and business management (that is if you know what an auditor does).

Sasa aina maana nakubaliana nae na kila kitu.

For instance kusema aoni trillion 1.5 kwanza amejuaje if those sums were missing? Ni lazima kuna recorded income somewhere (so why cheat).

Swala linakuja where was the expenditure cut point; ni hivi hoja zake zinajibika na serikali imetolea ufafanuzi sema watu awakutaka kuelewa.

Swala la kununua ndege cash; arguments zake ni long story nonetheless it has to be tied with other economical alternative based on investment appraisal; for my opinion 90% ya michango kwenye ile mada aina financial reasoning.

But then acha kuleta arguments bila ya kuelewa madhara yake katika kumchafua Magufuli; thank god watu kama sisi tupo upande wako na upande wa pili vilaza.
 
Back
Top Bottom