Eng Inc
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 627
- 931
Ila pesa za kurudia chaguzi ndo sio nyingi?Kweli mkuu...bora hata haya majeneza ninayouza mimi hapa Dodoma yana kiwango cha kisasa kabisa.!
Lakini pia tusilaumu sirikali katika hili ujue waliofariki ni wengi na kununua majeneza ya bei ghali kwa ghafla ni pesa mingi sana ukizingatia ni tukio la dharula hivyo sio mbaya hata kutumia hayo tu japo namuonea gere aliyechukua hiyo tenda.