Tetesi: Serikali imefunga kompyuta za wahasibu na HR wote wa serikali nchi nzima

Ramark

JF-Expert Member
May 19, 2015
1,989
1,447
Inadaiwa ni wiki sasa tangu hizo kompyuta zifungwe na serikali automatically kwani hazifunguki hivyo kazi sasa wanafanya manual

Inawezekana wataalamu wa it kutoka Rwanda wametua na ndio kazi hiyo imeanza kuunganisha mfumo wa mapato ya serikali nchi nzima

Source rafiki
 
Ungeuliza badala ya kutoa opinion zako.

Ni hivi mwaka wa fedha wa serikali unaanza tarehe 01/07 na kuisha 30/06 kila mwaka.

KINACHOTOKEA

kwa kuwa mwaka wa fedha unaanza tarehe 01/07 na kwa kuwa mfumo wa malipo wa serikali hasa LGA's yaani Epicor 9.05 upo centralized kinachofanyika kwa muda huo kuanzia tarehe 01/07 linafanyika zoezi la ku-upload budget za LGA's zote na kumbuka ni karibu 185. utaona mwenyewe ni namna gani zoezi hili lilivyokubwa na lenye kuhitaji umakini, kumbuka baudget inaingizwa kwa govenment financial statistics code (GFS code) yaani kila Tshs inaingizwa kwenye kifungu husika.

Kwa sababu hiyo ndio maana malipo kwa sasa kwa LGA's yamesimama lakini pia kumbuka yamesimama kwa zile hatua zinazohitaji kufanya kwa mfumo na kwa sababu malipo ni process, bado kuna hatua nyingine za malipo kama vile kuinitiate madokezo kunafanyika wakati wakisubiri budgeti iwe uploaded kwenye mfumo wao wa epicor 9.05.

Kuhusu Lawson na mifumo mingine inayotumia infrastructures za Epicor 9.05 inaweza kuathirika kwa namna moja au nyingine kwa kuwa wakati huu pia TAMISEMI inaweza ikawa inafanya maboresho au marekebisho kwenye miundo mbinu ya mifumo mfano Servers updating, upgrading....etc

Zoezi hili huwa ni la kila mwaka hivyo halina uhusiano na utawala uliopo.

TATIZO LINAWEZAJE KUEPUKIKA

Tatizo kama hili linaweza kuepukika ikiwa kunaweza kukawa na mifumo miwili inayofanana but tofauti in physical device katika hatua za mwanzo kama stand alone system them zinaweza pandishwa kwenye server usiku wa tarehe 30/06 Kila mwaka ili tarehe 01/07 asubuhi kusitokee namna yoyote masuala ya malipo yakasimama.

Nadhani Mtoa thread utakuwa umepata japo kwa kiasi.
 
Kwani computer ziko centrally controlled
 
MKUU LINAWEZA ATHIRI SALARY YA JULY?
 
Kwahiyo computer za serikali zote kila wanacho kifanya huwa kinaonekana HQ ya magogoni?
 
Magogoni wanaona kila kitu @ Jambazi ,pia jina lako haliakisi ulivyo maana nakufahamu upo ofisi ya jirani yangu hapa na ni benki ya wananchi sasa hili jina la Jambazi hakiku refleck
 
Kwahiyo computer za serikali zote kila wanacho kifanya huwa kinaonekana HQ ya magogoni?
Mkuu magogoni ni watu wa kupokea taarifa kutoka kwenye wizara nyingine so server zinakuwa mawizarani kulingana nature kila mfumo katika wizara husika. matahalani mfumo wa ardhi obvious utakuwa wizara ya ardhi etc!
 
Ungeuliza badala ya kutoa opinion zako.

Ni hivi mwaka wa fedha wa serikali unaanza tarehe 01/07 na kuisha 30/06 kila mwaka.

KINACHOTOKEA

kwa kuwa mwaka wa fedha unaanza tarehe 01/07 na kwa kuwa mfumo wa malipo wa serikali hasa LGA's yaani Epicor 9.05 upo centralized kinachofanyika kwa muda huo kuanzia tarehe 01/07 linafanyika zoezi la ku-upload budget za LGA's zote na kumbuka ni karibu 185. utaona mwenyewe ni namna gani zoezi hili lilivyokubwa na lenye kuhitaji umakini, kumbuka baudget inaingizwa kwa govenment financial statistics code (GFS code) yaani kila Tshs inaingizwa kwenye kifungu husika.

Kwa sababu hiyo ndio maana malipo kwa sasa kwa LGA's yamesimama lakini pia kumbuka yamesimama kwa zile hatua zinazohitaji kufanya kwa mfumo na kwa sababu malipo ni process, bado kuna hatua nyingine za malipo kama vile kuinitiate madokezo kunafanyika wakati wakisubiri budgeti iwe uploaded kwenye mfumo wao wa epicor 9.05.

Kuhusu Lawson na mifumo mingine inayotumia infrastructures za Epicor 9.05 inaweza kuathirika kwa namna moja au nyingine kwa kuwa wakati huu pia TAMISEMI inaweza ikawa inafanya maboresho au marekebisho kwenye miundo mbinu ya mifumo mfano Servers updating, upgrading....etc

Zoezi hili huwa ni la kila mwaka hivyo halina uhusiano na utawala uliopo.

TATIZO LINAWEZAJE KUEPUKIKA

Tatizo kama hili linaweza kuepukika ikiwa kunaweza kukawa na mifumo miwili inayofanana but tofauti in physical device katika hatua za mwanzo kama stand alone system them zinaweza pandishwa kwenye server usiku wa tarehe 30/06 Kila mwaka ili tarehe 01/07 asubuhi kusitokee namna yoyote masuala ya malipo yakasimama.

Nadhani Mtoa thread utakuwa umepata japo kwa kiasi.

Hakika
Umetutoa tongo tongo kidogo
 
Mkuu asante sana kwa ufafanuzi huu mujarabu. Nimejifunza kikubwa mno. Nimependa pia ulivyoanza kwa kumuuliza mkuu mtoa mada/uzi.......kwa nini asiulize? Imekuwa kau-gonjwa nadhani.
 
Ungeuliza badala ya kutoa opinion zako.

Ni hivi mwaka wa fedha wa serikali unaanza tarehe 01/07 na kuisha 30/06 kila mwaka.

KINACHOTOKEA

kwa kuwa mwaka wa fedha unaanza tarehe 01/07 na kwa kuwa mfumo wa malipo wa serikali hasa LGA's yaani Epicor 9.05 upo centralized kinachofanyika kwa muda huo kuanzia tarehe 01/07 linafanyika zoezi la ku-upload budget za LGA's zote na kumbuka ni karibu 185. utaona mwenyewe ni namna gani zoezi hili lilivyokubwa na lenye kuhitaji umakini, kumbuka baudget inaingizwa kwa govenment financial statistics code (GFS code) yaani kila Tshs inaingizwa kwenye kifungu husika.

Kwa sababu hiyo ndio maana malipo kwa sasa kwa LGA's yamesimama lakini pia kumbuka yamesimama kwa zile hatua zinazohitaji kufanya kwa mfumo na kwa sababu malipo ni process, bado kuna hatua nyingine za malipo kama vile kuinitiate madokezo kunafanyika wakati wakisubiri budgeti iwe uploaded kwenye mfumo wao wa epicor 9.05.

Kuhusu Lawson na mifumo mingine inayotumia infrastructures za Epicor 9.05 inaweza kuathirika kwa namna moja au nyingine kwa kuwa wakati huu pia TAMISEMI inaweza ikawa inafanya maboresho au marekebisho kwenye miundo mbinu ya mifumo mfano Servers updating, upgrading....etc

Zoezi hili huwa ni la kila mwaka hivyo halina uhusiano na utawala uliopo.

TATIZO LINAWEZAJE KUEPUKIKA

Tatizo kama hili linaweza kuepukika ikiwa kunaweza kukawa na mifumo miwili inayofanana but tofauti in physical device katika hatua za mwanzo kama stand alone system them zinaweza pandishwa kwenye server usiku wa tarehe 30/06 Kila mwaka ili tarehe 01/07 asubuhi kusitokee namna yoyote masuala ya malipo yakasimama.

Nadhani Mtoa thread utakuwa umepata japo kwa kiasi.
Ivi hii process inaweza athiri malipo kuchelewa kwa mishahara ya mwwzi wa sita hususani kwenye mashirika ya umma kama tanesco?
 
Back
Top Bottom