Serikali imefilisika? Waziri kivuli wa fedha nawe mbona kimya!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Serikali kushindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi mpaka leo ikiwa ni tarehe 01/12/2013 si ushahidi kwamba serikali imefilisika?

Waziri kivuli wa fedha mbona kimya?

Hela zinaishia kuwalipa Dowans na IPTL?
 
Serikali kushindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi mpaka leo ikiwa ni tarehe 01/12/2013 si ushahidi kwamba serikali imefilisika?

Waziri kivuli wa fedha mbona kimya?

Hela zinaishia kuwalipa Dowans na IPTL?

Waziri kivuli wa Fedha amesimamishwa, alikuwa Zitto Kabwe
 
Nlishawahi kusema mfanyakazi wa tanzania anaishi kitabu sana ukitaka kuamini mcheleweshee mshaara kwa siku 2 kama haujamuua njaa.
 
the government will never fail but an individual hapa naona mambo hayajakaa kuna fedha inatakiwa itoke Tanapa B kadhaa kwa ajili ya wafanyakazi Fulani ni hatari.
 
Back
Top Bottom