Mfalme wa Genge
Senior Member
- Mar 30, 2018
- 190
- 224
Mara kadhaa gazeti la Raia Mwema limekuwa likiandika taarifa za kiushabiki na kiuhanaharakati badala ya kusimamia misingi na weledi wa uandishi wa habari.
Nimekuwa najiuliza kama gazeti hili lina mhariri au mhariri mwenyewe ndio mwanaharakati au haijui kazi yake vizuri.
Nitoe tu heko kwa Serikali kwa kuliona hili na kuchukua hatua na isiishie tu kwa gazeti hilo, yapo na mengine mengi yasioyofuata misingi.
Kiufupi nasema ikiwezekana fungieni yote. Sisi tunahitaji nchi yetu isonge mbele na sio kuleta uchonganishi kati ya wananchi na Serikali yao tena kwa taarifa za uongo.
Na Emmanuel Magembe