Serikali imechelewa sana kufungia gazeti la Raia Mwema

Mfalme wa Genge

Senior Member
Mar 30, 2018
190
224
Mara kadhaa gazeti la Raia Mwema limekuwa likiandika taarifa za kiushabiki na kiuhanaharakati badala ya kusimamia misingi na weledi wa uandishi wa habari.

Nimekuwa najiuliza kama gazeti hili lina mhariri au mhariri mwenyewe ndio mwanaharakati au haijui kazi yake vizuri.

Nitoe tu heko kwa Serikali kwa kuliona hili na kuchukua hatua na isiishie tu kwa gazeti hilo, yapo na mengine mengi yasioyofuata misingi.

Kiufupi nasema ikiwezekana fungieni yote. Sisi tunahitaji nchi yetu isonge mbele na sio kuleta uchonganishi kati ya wananchi na Serikali yao tena kwa taarifa za uongo.

Na Emmanuel Magembe
 
I was thinking the same. Ila, najiuliza: is it a change of values or is it a change of management? Raia Mwema ya zamani nilikuwa baletew kila siku ya tatu kwa Ngorika Bus, hili la sasa matusi na ulaghai mtupu, has matumizi ya headlines. Ila kama ni uchumi hiyo inaeleweka: competition is so stiff that usipoandika negative headlines halitauzwa. Mfano, sema kamanda wa CHADEMA "ametekwa", la sivyo halitasomwa. Au bongomovie star sema "amebakwa" ndiyo gazeti liuzwe. Sasa Iimehamia digital.
 
Hivi Kuea mwana Harakati Maana yake nini!
Hamza alikuwa kada wa CCM kwani tatizo Nini?!
Hamza angekuwa CHADEMA Hali ingekuwaje?
Huu unafiki mpaka lini?
 
Mara kadhaa gazeti la Raia Mwema limekuwa likiandika taarifa za kiushabiki na kiuhanaharakati badala ya kusimamia misingi na weledi wa uandishi wa habari.

Nimekuwa najiuliza kama gazeti hili lina mhariri au mhariri mwenyewe ndio mwanaharakati au haijui kazi yake vizuri.

Nitoe tu heko kwa Serikali kwa kuliona hili na kuchukua hatua na isiishie tu kwa gazeti hilo, yapo na mengine mengi yasioyofuata misingi.

Kiufupi nasema ikiwezekana fungieni yote. Sisi tunahitaji nchi yetu isonge mbele na sio kuleta uchonganishi kati ya wananchi na Serikali yao tena kwa taarifa za uongo.

Na Emmanuel Magembe
Aliposema ikiwezekana fungieni yote, ndio kajiridhihirisha kwa Watanzania kua ni HANA AKILI KICHWANI
 
Back
Top Bottom