aloyce ibra
Member
- Oct 26, 2016
- 60
- 25
Nimefsrikijika sanaaaa kwa hii taarifa....wale wenzangu na mimi wa kusema hamkushirikishwa nafasi ndo hii muache porojo
Km sheria ni mbovu uctegemee kanuni zitakua nzuri sababu kanuni hutungwa kwa kufuata sheria ili visikinzane. Kanuni na mpango wa namna ya kutekeleza sheria iliyokwisha tungwa. Hiki ni kiini macho na wakawadanganye watoto wenzao.Nimefsrikijika sanaaaa kwa hii taarifa....wale wenzangu na mimi wa kusema hamkushirikishwa nafasi ndo hii muache porojo
Duuuh...!! yaani wanakumbuka shuka kumeisha kucha... Kwa hiyo tukitoa maoni hiyo sheria itarudi tena kuwa muswada na kupelekwa tena Bungeni..???....Kama hivyo vipengele vingejadiliwa bungeni kusingekuwa na mlolongo wa kuja tena kuomba ushauri mtaani......
Walitoa milioni 10 ili sheria ipitishwe haraka. Kwanini hawakusubiri maoni kutoka kwa wadau ili wapitishe sheria iliyo bora?
We ndo unajiaibisha tena IQ yako naona inasoma negative....Hivi wewe unategemea sheria inapitishwa kibabe halafu kanuni ndo zije kuzungumziwa na nani.??...kwanin wao walioipitisha wasiunde hizo kanuni wakajihakikishia ushindi wao bila bugdha......acha unafiki hiyo sheria ni kandamizi.....sema namuelewesha -ve minded person .....Bora niweke music WAPI DARASA.....Mzee acha kujiabisha...sheria ilipotishwa bila kanuni....now ndo muda wa kuunda kanuni ili iendane na sheria iliyopitishwa na sio kurudishwa tena bungeni.....hii jamii forum imebeba watu wa hovyo....hapa ndipo utajua wafuata upepo na wenye IQ zao...kama hujui kanuni zinaundwa baada ya sheria kupitishwa sasa hii sinishida
We naeeee...hebu jaribu kifikiri kabla ya kukurupuka kuandika ujinga....sheria inapitishwa halafu baadae wadau wanakutana kuunda kanuni ili ziendane na sheria iliyopo....msyuuuuu....we lazima utakuwa rangi ya kaki......
Wewe ni ke au me? Waliombwa mpaka January ili wadau wa habari waipitie vizuri na kujiridhisha nayo lakini serikali ikakataa ndio wakaipitisha kwa kuongo wabunge wa sisiem milioni 10 kila mmoja. Kwanini hawakusubiri kama walijua huo mswada wa sheria unamapungufu? Kwanini waliupitisha haraka na Rais akasaini haraka halafu leo wanataka kupokea maoni kutoka kwa hao wadau wa habari?
Mzee mbon mgumu kuelewa....mbon upo kwenye kiwango kikubwa cha ujinga labda niandike kwa herufi kubwa uelewe... SHERIA HAIPITISHWI NA KANUNI, BAADA YA SHERIA KUPITA NDIO WADAU WANAITWA SASA KUTOA MAONI ILI KUTUNGA KANUNI ZA KUONGOZA SHERIA ILIYOPITISHWA...NA SIO KWAMBA SHERIA INA KASORO NDIO MAANA MAONI YANAOMBWA...kama hujaelewa sasa itakuwa bahati mbaya...
Nimefsrikijika sanaaaa kwa hii taarifa....wale wenzangu na mimi wa kusema hamkushirikishwa nafasi ndo hii muache porojo
Na wewe unachokasirikia nini?We naeeee...hebu jaribu kifikiri kabla ya kukurupuka kuandika ujinga....sheria inapitishwa halafu baadae wadau wanakutana kuunda kanuni ili ziendane na sheria iliyopo....msyuuuuu....we lazima utakuwa rangi ya kaki......