Does it make any difference?! Tena Mchina mwenyewe sio mwingine bali ni yule yule wa mara ya kwanza!!Mchina anajenga Isaka - Mwanza na Mturuki anajenga Dar - Tabora
On top of that, makubaliano ya awali na Mchina ilikuwa almost USD 7.7 Billion... tukaambiwa ni ufisadi mtupu!!! Hivi sasa, Shirika la Reli wenyewe wanakuambia:-
Ngoja niongeze sauti potelea mbali hata kama mtasema tunamchukia Magu... HADI SASA IMESHATUMIKA KARIBU SHILINGI TRILLION 15, and the accounting is still going on wakat hapo kabla tuliambiwa USD 7.7 Billion ni ufisadi mtupu!mpaka sasa jumla ya fedha ambazo serikali imewekezakatika ujenziwa Reli ya SGRkwa awamu ya kwanza Dar es Salaam - Mwanza kwa vipande vinne kati ya vitano yani Dar es Salaam –Morogoro, Morogoro - Makutupora, Makutupora - Tabora na Mwanza - Isaka imefikia shilingi za Kitanzania Trilioni 14.7 ukijumlisha na kodi ya ongezeko la thamani (VAT).
Mbaya zaidi, miongoni mwa pesa tulizotumia kujenga hii reli ni MIKOPO YA KIBIASHARA kutoka Standard Chartered Bank ya UK, na Credit Suisse ya UK!
Kwa maana nyingine, hiyo 14.7 Trillion, ukichanganya na ukali wa mikopo ya kibiashara kutoka kwa wale wale mnaowaita mabeberu, my friend, hadi sasa REAL COST ambayo tumeshaingia ni kubwa zaidi kuliko hizo reported figures, na kazi bado haijaisha!!
Na Mchina pamoja na ukatili wake unaoimbwa kila leo, ukatili ambao umechochewa zaidi na Serikali ya Trump iliyokuwa inaihofia BRI, bado pamoja na ukatili huo ukali wa mikopo yake huwezi kulinganisha na mikopo kutoka Mabenki ya Nchi za Magharibi!
Utafiti ambao ulifanywa mwaka jana na Wamarekani wenyewe, kwa mshangao (kama na wao walivyokuwa wanaambiwa na serikali yao) wakagundua Mikopo ya Wachina kwa Africa ni VERY CHEAP as compared to mikopo kutoka kwa International Lenders (with the exceptional from multilateral financial institutions) na mara nyingi riba zake huwa zina-range 0.6% to 2% huku iliyo chini ya 2% ikiwa ndo mingi zaidi!
HOWEVER, ni kweli hivi sasa Mchina kashtuka! Amechelewa sana kufahamu kwamba Miafrika ni MIZITO kweli kweli kwenye kulipa madeni... from state to individual level! Matokeo yake hivi sasa anawakazia kweli kweli kama alivyowakazia Kenya hivi majuzi waliokuwa wanataka ulipaji wa deni lao usogezwe mbele, lakini Mchina akawachomolea...
Huku kwetu (na Zambia) nako, hadi kesho DENI la ujenzi wa TAZARA ambayo inakaribia miaka 50 sasa, BADO HAMJAMALIZA KUMLIPA MCHINA huku raslimali zenu karibu zote zikiwa chini ya wale wale mnaowaita mabeberu!!
Yaani raslimali zenu zipo kwa wale wale ambao leo wanawaambia "huyo Mchina anawakopesha kwa sababu anataka raslimali zenu"! Yaani wale wale ambao walipinga sana ujenzi wa TAZARA!!
AKILI ZA MBAYUWAYU CHANGANYENI NA ZA KWENU!!
And FYI, jana nimechukua cheki ya $250, malipo ya January 2022 to June 2022 ili kuja kumtetea Mchina hapa... how does it feel?! Jealous enh?!