khumbu_peresa
Member
- Feb 11, 2021
- 28
- 105
Unjani.
Naandika kama mdau wa sekta ya usafirishaji watu na mizigo ,na napenda kutoa mawazo chanya kwenye kuisaidia serikali kwenye kipindi hiki cha janga la corona.
Siungani na wananchi ambao wao kazi yao ni kuilaumu serikali kwenye janga hili la corona.,mara serikali itangaze kuna corona',mara serikali vile."
Pamoja kama nchi hatuna haja ya kumlaumu Rais wa nchi yetu His Excellency Dr Magufuli hata kidogo, kama Taifa tunapitia kipindi kigumu kote bara na visiwani maana tumepoteza prominent leaders.
Twende kwenye mada.
Nimeobserve kule Airports,hasa Kilimanjaro, Zanzibar na Julius Nyerere International Airport. Hizi ni Airport zinazopokea ndege za kimataifa, which means ziko kwenye high possibility ya kuwa exposed na ugonjwa wa corona since zinapokea abiria toka mataifa ya nnje.
Uhalisia na nimeuona ,na naomba vyombo vya usalama vilivyopo pale airport hasa TISS wanaposcan incoming passengers basi wawe wanashirikiana na mamlaka za afya pale airport (Port Health) kwenye ku scan afya za hawa abiria wanaowasili kutoka nnje ya nchi.
Utaratibu uliopo sasa hautoshi kukabiliana na janga la corona.
Utaratibu wa sasa,mgeni anawasili toka ulaya pale terminal three anawekewa thermometer tu kusoma joto..likiwa normal basi anaingia ndani ya nchi bila kumchunguza hata background check ya afya yake for the past 14 days.
Rais magufuli alisema,Tanzania haina corona lakini hawa watu waliotoka nnje ndio wametuletea kirusi kipya cha corona
Yuko sahihi, kimeletwa sababu hakuna intensive measures pale kwenye checkpoints zetu za kuingia ndani ya nchi (boarders).
Tunaruhusu tu watu kuingia, na watu wataingia ma watakuja Tanzania sababu sisi ni afadhali kwenye corona,we are not free from.corona but atleast "
So kila mtu atakuja Tanzania akiamini huku ni bora kushinda marekani na ulaya...so tumeweka mpango mkakati gani pale mipakani Horohoro, Namanga, Makonde etc?
Kwa airport entry naomba wizara ya afya iweke utaratibu ufuatao:
1. Kuwe na sharti la lazima la mashirika ya ndege yanayoleta abiria toka nnje ya nchi kujaza "online surveillance form", masaa au siku moja kabla hawajasafiri.
Kuwe na link kabisa toka "MOH" data zote ziwe zinaenda huko,surveillance ijikite kwenye kumuuliza abiria historia ya afya yake.
Ametembelea nchi zipi kwa siku 14 mpaka 30 zilizopita, kama katoka kwenye zile nchi zenye red dots basi tunaanza kuwa alerted mapema.
Kenya wana huu Utaratibu na nchi zingine za Ulaya.
2. Kuwe na sharti la lazima la abiria wanaokuja Tanzania wawe wamepima kipimo cha corona PCR method na kupewa cheti kinachothibitisha kuwa yuko NEGATIVE..na hiko cheti kiwe effective ndani ya siku 4-5 toka apime.
Mfano kama kapima tarehe 14 February, basi Asafiri ndani ya siku tatu au nne toka apime, yaani asafiri tarehe 15,16,17 au 18, baada ya hapo kiwe kime expiry.
Akitaka kusafiri tarehe 19 Feb basi akapime tena.
Nimeona juzi,mtu akitaka kwenda ulaya hasa Amsterdam kutokea dar, anatakiwa awe Amepima corona toka maabara ya taifa pale mabibo pia akiwa pale airport anatakiwa apime tena antigen test ya corona masaa matatu kabla hajapanda ndege kinyume na hapo hawezi kuingia Amsterdam.
Basi na sisi tuchukue hizi taadhari na wizara ya afya ijikite kwenye strict measures za ku trace hizi afya za waingiaji ndani ya nchi.
Sawa hatufungi nchi, acha waje, lakini Je tunawa deep screen afya zao?
Maana maafisa wa mipakani na viwanja vya ndege hawajali hili..wao ukilipa entry fees,na ukilipa maafisa uhamiaji pale mpakani wanakufungulia tu geti Ingia Tanzania, no one gives a sh**t about afya za hawa waingiaji nda ni.
UTARATIBU ULIVYO SASA
Abiria wanakuja na Egypt Air, au Swiss Air wanashuka pale International arrival, wanakutana na maafisa wa afya, wanawapima joto na thermometer, likiwa la kawaida 36.5 nyuzi za centigrade wanakuachia uende immigration ujaze entry form baaasi. Kazi yao imeishia hapo.
Ukiwa na joto limezidi 36.5 basi watakuweka pembeni kukwambia tulia joto lishuke, likishuka wanakuachia uende mbele, likiwa juu wanakupa panadol then off you go, but nobody asks about their health! Wametoka wapi for the past 14 days kabla hawajaja Tanzania. Wametembelea nchi zipi?
Sasa Mhe Rais wa JMT Pole na majukumu lakini ni wakati sahihi kuwekeza kwenye sekta ya afya hasa kwenye mipaka yetu na airports zetu, mtu kabla hajaja Tanzania awe kashajaza surveillance online form atuambie katembelea nchi zipi.
Akija aje na valid covid certificate ambayo amefanya kipindi cha karibuni (recent).
Above all, ikiwa inahitajika kwa usalama wa taifa letu basi kuwe na Centre pale airports na mipakani ya maafisa afya wawe wanapima up ya hawa arrivals na incoming passengers both mipakani na kwenye entry points zingne waambiwe tu costs ya kipimo kabla hawajaja wakifika tunapima upya. Wakiwa na maambukizi wasiingie Tanzania au walipie karantini yao hotelin.
Bye for now.
Mzalendo.
"UMOJA wetu, ndo NGUZO YETU"
MUNGU IBARIKI TANZANIA.