Serikali iliyoundwa na watu hovyo huzaa serikali hovyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali iliyoundwa na watu hovyo huzaa serikali hovyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabadilikosasa, Jul 19, 2011.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Serikali ya CCM in Hovyo maana imeundwa au inaendeshwa na watu HIVYO. HOVYO kwa maana ya wengi hawana uzoefu, uadilfu, ujuzu, na majukumu yao hayapo clear. Wapo MaDCs ambayo ni darasa la saba,wengine form IV nk. Wengi wamepata vyeo kwa misingi ya kidini, kidugu, na kirafiki. Ili nchi iendelee inategemea sana ni watu gani waliopo katika nafasi mbalimbali za utendaji na maamuzi. Kwa hali hiyo ni NDOTO kwa tanzania kupiga hatua. Umaskini utaendelea kuongezeka maana waliopewa nafasi mbalimbali hawana tija. Kikwete ni msani wa pwani. Pamoja na kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje kwa kipindi cha miaka kumi, lakini hakuweza kujifunza lolote kutoka nchi za wenzetu zilizoendelea. Naona alikua anaenda kutembea tuu. Hakujifunza lolote. Kikwete ameharibu mfumo mizima wa ajira tanzania na duniani kote. Kwa maana hiyo nchi imeharibika kwa kupachikapachika watu wasio na sifa ktk maeneo mbalimbali. Ni ni hatari sana kwa ujenzi na ustawi wa taifa hili. na haya yatakuja kumtokea puani akimaliza kipindi chake. Of course, anachotaka kufanya sasa hivi ni kupachika mtu wake, ili madudu yake yapone, lakini hiyo deal wengi wameshaanza kishtukitia.
   
Loading...