Serikali ilivyojipanga kuinunua Dowans (Uteuzi wa Sitta na Mwakyembe)

chidide

Member
Nov 11, 2010
91
9
Hivi kweli hili sio deal la serikali kununua Dowans! Waliokuwa vinara wa kuipinga Dowans (Sitta na Mwakyembe) wameingizwa serikalini, so hawawezi kusema chochote now kwa mujibu wa kiapo walichokula. Uteuzi wao haukuwa na nia ya kuwanyamazisha then serikali through Tanesco wanunue hii mitambo? Ni suala la muda tu but I think muendelezo wa mambo ulivyo mwisho tutaambiwa badala ya kulipa fidia tumekubaliana na Dowans tuinunue kwa bei iliyotajwa(185Billion).
 
Mwakyembe is to be blamed more than anybody, he is a lawyer for God sake! he did what he could we gave him kudos, now we are giving them our money.

Mwakyembe is fisadi, no need to over emphasize this!
 
Mwakyembe is to be blamed more than anybody, he is a lawyer for God sake! he did what he could we gave him kudos, now we are giving them our money.

Mwakyembe is fisadi, no need to over emphasize this!

Kivipi mwakenyembe ni fisadi specifically kwenye hii issue ya Dowans. Ni kitu gani kamati ya kina mwaknyembe walichoshauri ambacho hakikuwa sahihi au hakishauriwa kwa misingi ya maadili , taaluma ya sheria na uzalendo?
 
Back
Top Bottom