Hivi kweli hili sio deal la serikali kununua Dowans! Waliokuwa vinara wa kuipinga Dowans (Sitta na Mwakyembe) wameingizwa serikalini, so hawawezi kusema chochote now kwa mujibu wa kiapo walichokula. Uteuzi wao haukuwa na nia ya kuwanyamazisha then serikali through Tanesco wanunue hii mitambo? Ni suala la muda tu but I think muendelezo wa mambo ulivyo mwisho tutaambiwa badala ya kulipa fidia tumekubaliana na Dowans tuinunue kwa bei iliyotajwa(185Billion).