Serikali iliunganisha umeme kwa Shilingi 27,000 ili kupata watu wengi wa kukata tozo

rr3

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
3,035
3,724
Na nimeelewa sasa kuwa

1. Umeme kwa 27,000 ilikuwa plan ya muda mrefu kwanza vijijini halafu Sasa mjini ili wapate vichwa vingi vya tozo.

2. Watu flani walioishika serikali wanataka wafanye biashara zao za solar na magenerator hivyo wakachampion tozo ili watu wachukie wahamie kwenye Sola Kama kwenye muamala walivyohamia benki na kutuma hela cash.

Every picture you see have a story behind it.

All in all Mama yetu tunampenda na tunaendelea kumuombea na tunamuomba atufikirie kwenye hizi tozo.
 
Mkuu Ka buku Tu Kwa mwezi mmoja ? Mbona nipesa ndogo Sana? Kikubwa nikuwa mzalendo
Hapana sio buku tu. Naona mtu anataka kuweka umeme wa buku wanataka uweke elfu 3
 
Tozo wakate, ila kikubwa zifanye kaz inayoonekana
Point taken, kama ufisadi ukirudi Kama ule wa awamu ya Kasi mpya, Ari mpya na nguvu mpya Basi........ Tumekwisha
 
Tozo ya luku haina shida, tatizo lipo kwenye tozo ya miamala.
Fundi ujenzi kutwa yake ni 20,000. Hana akaunti benki Ila ana mpesa. Akisema aweke akiba ile 10 kwenye mpesa anakatwa akitoa anakatwa. Sijajua hesabu gani walitumia Hawa watu.
 
Point taken, Kama ufisadi ukirudi Kama ule wa awamu ya Kasi mpya, Ari mpya na nguvu mpya Basi........ Tumekwisha
Uludi mara ngapi unazani hizo cash zote za miamala zinafika
 
Uludi mara ngapi unazani hizo cash zote za miamala zinafika
Ndio shida yetu kuu na Hawa awamu ya nne waliodandia tren hii, maana ni mabingwa wa ku-divert funds.

Na hapa Sasa kwa mazuri au kwa mabaya ndio watu watakapomkumbuka mwenda zake.
 
Ndio shida yetu kuu na Hawa awamu ya nne waliodandia tren hii..... Maana ni mabingwa wa kudaivert funds....

Na hapa Sasa kwa mazuri au kwa mabaya ndio watu watakapomkumbuka mwenda zake.
Kwa hali hii bora magu hata Kama alikuwa
 
Kwa hali hii bora magu hata Kama alikuwa
Ndio maana yake ...... Kwa ubaya wake woote mwendazake alikuwa na uchungu na nchi hii na naanza kuamini alichokuwa anafanya ilikuwa ni necessary evil na baadaye the end ingejustify the means....
 
Ndio maana yake ...... Kwa ubaya wake woote mwendazake alikuwa na uchungu na nchi hii na naanza kuamini alichokuwa anafanya ilikuwa ni necessary evil na baadaye the end ingejustify the means....
Ndo mana alikuwa anasema mtanikumbuka alikuwa anajua Kuna watu hawana time na wanyonge
 
Kabisa, wengine tupo Kama alliens ..... Keki ya taifa hatuli kazi yetu kuchangia tozo tu wakati Kuna familia toka Uhuru kazi yao ni kula hiyo keki ya taifa inayotokana na tozo tunazotoa.
Wenye nchi wanajua mtoto wa nani atakua Rais wa Zanzibar baada ya dr Hussein na nani atakua mgombea wa CCM 2025
 
Back
Top Bottom