rr3
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,018
- 3,678
- Thread starter
- #21
Inawezekana Mungu alimleta ili atuonyeshe nchi inaongozwaje..... Watu wa chini tujue kiongozi wetu anatakiwa aweje.....Ndo mana alikuwa anasema mtanikumbuka alikuwa anajua Kuna watu hawana time na wanyonge
Majitu mengine vision ni wao na familia zao Ila chuma ilikuwa vision take nchi na wanyonge.
Sikumuunga Sana mkono.... Nilimpa alama chache Ila naanza kuelewa Sasa.....
1. Mradi wa umeme usingekaa ujengwe
2. Reli mpya kabisa ingekuwa ndoto.
3. Treni kwenda Moshi na Arusha iliuwawa ili matajiri watumie masemi trela yao na mafuso ili kujimegea utajiri zaidi Ila chuma aliifufua na matajiri walikasirika Sana.
Na mambo mengine meeeeengi mno....