Serikali ilitoa maagizo ya maandishi kwa TFF maana isije kuwaruka

Naungana na Yanga, haya mambo ya serikali kuingilia mpira ni ya kupingwa vikali, mpira una Kanuni zake lazima zifuatwe. Kama ambavyo tunapinga serikali kuingilia Tume ya uchaguzi kiipindi cha uchaguzi basi tupinge kitendo hiki cha serikali kuingilia ratiba ya mpira.Nawapongeza yanga kwa protest waliyoonesha leo.
 
Samia hana mamlaka ya kufukuza watu wa TFF akijaribu kufanya hivyo FIFA itatupiga rungu, labda afukuze tu wa wizara ya habari na michezo.
 
TFF haina ubavu wa kuigomea Serikali. TFF haina viwanja, wenye viwanja ndio wameamua hivyo
Kwa muda huo wa saa 11 jioni kulikuwa na shughuli inaendelea uwanjani hapo ? Watu wametoka mikoani kuhudhuria mechi na wameisha panga ratiba tayari, mnafanyaje hivi, tena bila apology.

Hivi kwa staili hii ndivyo mtarudisha wawekezaji!?

Hampo predictable kwa mambo madogo ( makubwa ni yale ya nguvu za asili/ natura disasters) mnawezaje kushawishi mwekezaji anayejielewa!?
 
Halafu mbona mechi ya Azam na Yanga ilisogezwa muda wa kuanza na Yanga mbona hamkugomea? taarifa ile nayo ilitolewa muda mchache kabla ya muda wa mechi kuanza.

TFF haina ubavu wa kuigomea Serikali. TFF haina viwanja, wenye viwanja ndio wameamua hivyo.
Good observation!
 
Hivi nyie Manyau FC mnajua hiyo mechi ilisogezwa mbele kwa kufuata utaratibu upi, au mnaongea tu?! Taarifa kuhusu kusogezwa mbele ilitolewa Tarehe 21/04 wakati mechi ilikuwa inachezwa tarehe 25/4!!

Sasa mnashindwa kuona tofauti hapo?!

Kwamba TFF haiwezi kuipinga serikali, sawa... lakini hiyo haiwezi kuwa justification ya kuvunja kanuni, na ndo maana wameamua kuahirisha hiyo mechi! Kama wapo sawa, kwanini basi wasingewapa Simba point 3 na badala yake wameamua kuahirisha mechi?
 
Sidhani kama atakuwa na la kujibu kwa haya uliyoyaandika.
 
Back
Top Bottom