Inabidi itimie 12,000 kabla mwaka haujaisha na imebaki miezi 4 tu 😂😂😂Jamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana viongozi lkn from now naanza kuombea watu wanyonge tuu hawa viongozi siwaelewi yaan.
Aisee! Kwa hiyo kila unaponunua umeme unakatwa 1000! Haijalishi unanunua umeme wa shilingi ngapi!! Huu utakua sasa ni zaidi ya wizi!!Nyumba ya kawaida kodi ilikuwa tunalipa 10000/
Sasa kwa sahv itakuwaje,itazidi hiyo 10000/
Ova
Jamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana viongozi lkn from now naanza kuombea watu wanyonge tuu hawa viongozi siwaelewi yaan.
Maana yake mwezi huu huna deni endelea kui njoiJamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana viongozi lkn from now naanza kuombea watu wanyonge tuu hawa viongozi siwaelewi yaan.
Kwani ukikodisha nyumba si inakuwa yako mapaka mkataba uishe?Inamaana tunawasaidia wenye nyumba kulipa kodi?
Aisee! Kwa hiyo kila unaponunua umeme unakatwa 1000! Haijalishi unanunua umeme wa shilingi ngapi!! Huu utakua sasa ni zaidi ya wizi!!
Kwa mwaka tutalipia shilingi ngapi sasa!!! Inasikitisha sana.
Ukinunua wa buku, buku jero na buku mbili unakataaNikununua wa buku inakuwaje?
Kwa hali hiyo sisi wenye mita zaidi ya moja kwenye jengo moja, huenda tukalipa zaidi ya hiyo elfu 12!Kila mwezi wanakata buku kwa nyumba ya kawaida mzee, kama umepanga unalipa wewe apo mpangaji, mpangishaji aimuhusu mzee baba😁. Miezi 12=12000/=
Ndiyo mutambue katiba ni muhimu
*****! 2, 500/= unit 1...!!Hii serikali imeshakua ya kihuni aisee wamekula buku mbili badala ya buku dadadeki View attachment 1900508
Hapa sasa pazitoKwa hali hiyo sisi wenye mita zaidi ya moja kwenye jengo moja, huenda tukalipa zaidi ya hiyo elfu 12!
Ni vizuri wakatuwekea utaratibu mapema wa kuondokana na malipo ya kujirudia ndani ya jengo moja.